Usiku wa jana kitandani

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,070
Unakumbuka nini? Ni cha furaha au huzuni..!? Jiachie
 
ha ha ha nimekumbuka nilivyosota kwa baridi niloisikia!
 
Wengine ngiri alitutembelea! Kokwa moja abavu! Kokwa nyingine dauni ! Hili winta we acha tu!
Sijui Mzee Mzizi mkavu yupo araundi anihelpu!
 
Last edited by a moderator:
Leo ni sawa na sikulala;
Kuna kitu nahitaji
ilibidi niumize kichwa sana
japo hadi sasa sijapata suluhu.
 
Maji ya moto pia yameshindwa kusuluhisha?
Leo umeumiza kichwa!
Kesho utaumiza Mgongo , kitafata Kiuno!
Alaf tena alafu tena!
Qui! Qui! Qui! Nitaonekana chizi nacheka peke yangu cpati picha maji ya moto yanavyomaliza tatizo hahahaaaaa!!!
 
nimelala....kama mtoto aliyeshiba nyonyo! asante kwa sosoliso
 
Last edited by a moderator:
Ha ha haaaa
haa
hivi mtu akiwaza unajua ni hayo makitu tu,
wengine tulishaacha hata hatuyatumii tena hayo.

Maji ya moto pia yameshindwa kusuluhisha?
Leo umeumiza kichwa!
Kesho utaumiza Mgongo , kitafata Kiuno!
Alaf tena alafu tena!
 
lione kwanza, unakurupuka tu bila kujua kwanini nasikia baridi, kwa taarifa yako Arushaone kasafiri ndio maana nikakosa joto maana yeye ndio mtuu wa pekee wa kunitoa baridi.... Upo!?

Hasira ya nini sasa!!!?

siku nyingine akisafiri unishtue!!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…