Usiku umeingia,tuombeane,hatujui leo watekaji wanamtafuta nani na nani atapotea,hasa wasio maarufu

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
15,095
25,844
Wana JF usiku umeingia

Lile genge la watekaji wa Ney,Roma na lililomtolea bastola nape nnauye bado liko mitaani na bastola zao.

Hatujui leo lina maelekezo ya kumteka nani,watu maarufu walau zikipigwa kelele watu wanaogopa,sisi wengineo tusio na umaarufu labda tuweke mfumo hapa JF wa waliopotea na kupatikana

Uwepo Uzi maalum kwa wanaopotea katika mazingira tata.

Nadhani kama si ruge kupiga kelele hata shilawadu leo wangekuwa kwenye listi.

Ukifika usiku tuma meseji kwa mwenzio kujua kama yuko salama.

Ukisikia hodi zisizoeleweka,waambie wajitambulishe,wakikataa piga yowe la mwizi mtaa mzima wajikusanye wawashughulikie kwa kuwa majibu yanaonyesha hawa watekaji hawajulikani wanatokea wapi,wanafanya kazi wapi,piga yowe tu mtaa uje na petroli na kiberiti

[HASHTAG]#prayforyourfellow[/HASHTAG]
 
Hii nchi sasa haieleweki,nadhani kila mtaa ni kujipanga,lala na mkuki au chamoto,filimbi ya kuamshia majirani,sime na kidumu cha petroli

Haya majamaa kweli bado hayajakamatwa na mwigulu anasema hayajui yanakotokea
 
Wana JF usiku umeingia

Lile genge la watekaji wa Ney,Roma na lililomtolea bastola nape nnauye bado liko mitaani na bastola zao.

Hatujui leo lina maelekezo ya kumteka nani,watu maarufu walau zikipigwa kelele watu wanaogopa,sisi wengineo tusio na umaarufu labda tuweke mfumo hapa JF wa waliopotea na kupatikana

Uwepo Uzi maalum kwa wanaopotea katika mazingira tata.

Nadhani kama si ruge kupiga kelele hata shilawadu leo wangekuwa kwenye listi.

Ukifika usiku tuma meseji kwa mwenzio kujua kama yuko salama.

Ukisikia hodi zisizoeleweka,waambie wajitambulishe,wakikataa piga yowe la mwizi mtaa mzima wajikusanye wawashughulikie kwa kuwa majibu yanaonyesha hawa watekaji hawajulikani wanatokea wapi,wanafanya kazi wapi,piga yowe tu mtaa uje na petroli na kiberiti

[HASHTAG]#prayforyourfellow[/HASHTAG]
wanaotafutwa ni kidogo na wanajijua wengi laleni unono. hint..kama hujui mpaka wa uhuru wa habari ulipo kaa mbali na mpaka.
 
Wana JF usiku umeingia

Lile genge la watekaji wa Ney,Roma na lililomtolea bastola nape nnauye bado liko mitaani na bastola zao.

Hatujui leo lina maelekezo ya kumteka nani,watu maarufu walau zikipigwa kelele watu wanaogopa,sisi wengineo tusio na umaarufu labda tuweke mfumo hapa JF wa waliopotea na kupatikana

Uwepo Uzi maalum kwa wanaopotea katika mazingira tata.

Nadhani kama si ruge kupiga kelele hata shilawadu leo wangekuwa kwenye listi.

Ukifika usiku tuma meseji kwa mwenzio kujua kama yuko salama.

Ukisikia hodi zisizoeleweka,waambie wajitambulishe,wakikataa piga yowe la mwizi mtaa mzima wajikusanye wawashughulikie kwa kuwa majibu yanaonyesha hawa watekaji hawajulikani wanatokea wapi,wanafanya kazi wapi,piga yowe tu mtaa uje na petroli na kiberiti

[HASHTAG]#prayforyourfellow[/HASHTAG]
mim namwombea saana harmorapa wasije wakamteka
 
wanaotafutwa nikidoga na wanajijua wengi laleni unono. hint..kama hujui mpaka wa uhuru wa habari ulipo kaa mbali na mpaka
Baraza la habari na mahakama zipo,sio kazi ya watekaji
 
Mi wakija kwangu siwaogopi maana hawanijui kwahiyo lazima wataniuliza "we ndo flani"? ....lazima nikane kwamba mi sio!.
 
From ambush on Freedom of expressio to unlawful detention ("Freedom is comming Tommorrow")
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom