KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 35,790 Reaction score 86,538 Aug 13, 2016 #2 mitongozo ya kizamani
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,924 Reaction score 831,405 Aug 13, 2016 #3 Amavubi said: Click to expand... KENZY said: mitongozo ya kizamani Click to expand... hulali lakini unaota
Amavubi said: Click to expand... KENZY said: mitongozo ya kizamani Click to expand... hulali lakini unaota
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 35,790 Reaction score 86,538 Aug 13, 2016 #4 mshana jr said: hulali lakini unaota Click to expand... Ha ha ha... yani anaetongozwa mwenyewe anaona kbs huu ni uongo mkubwa..!!
mshana jr said: hulali lakini unaota Click to expand... Ha ha ha... yani anaetongozwa mwenyewe anaona kbs huu ni uongo mkubwa..!!
Ramea JF-Expert Member Joined Mar 19, 2015 Posts 2,146 Reaction score 4,090 Aug 13, 2016 #5 Mwenye mwandiko huu namfahamu.
Mwiyuzi JF-Expert Member Joined Jun 30, 2011 Posts 854 Reaction score 448 Aug 13, 2016 #6 KENZY said: Ha ha ha... yani anaetongozwa mwenyewe anaona kbs huu ni uongo mkubwa..!! Click to expand... Yeah...siyo kwamba Mtongozwaji anakuwaga haujui huo uongo
KENZY said: Ha ha ha... yani anaetongozwa mwenyewe anaona kbs huu ni uongo mkubwa..!! Click to expand... Yeah...siyo kwamba Mtongozwaji anakuwaga haujui huo uongo
vollies JF-Expert Member Joined May 31, 2015 Posts 748 Reaction score 446 Aug 13, 2016 #7 Imesahau kupiga pafyumu na kuchora ua
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 Aug 13, 2016 Thread starter #8 KENZY said: mitongozo ya kizamani Click to expand... SIKU HIZI MNATONGOZANA KWA SIMU MNAACHANA KWA SIMU
KENZY said: mitongozo ya kizamani Click to expand... SIKU HIZI MNATONGOZANA KWA SIMU MNAACHANA KWA SIMU
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 Aug 13, 2016 Thread starter #9 mshana jr said: hulali lakini unaota Click to expand... kizamani sana hii
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 Aug 13, 2016 Thread starter #10 vollies said: Imesahau kupiga pafyumu na kuchora ua Click to expand... humu utaisikiaje sasa
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 Aug 13, 2016 Thread starter #11 Ramea said: Mwenye mwandiko huu namfahamu. Click to expand... mhhhhhhhhhhhhhh
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,924 Reaction score 831,405 Aug 13, 2016 #12 Amavubi said: kizamani sana hii Click to expand... Ndio zilikuwa zetu. ..jamaa yangu aliwahi kujibiwa kama anamuona kwenye glass ya maji ayamwage asinywe
Amavubi said: kizamani sana hii Click to expand... Ndio zilikuwa zetu. ..jamaa yangu aliwahi kujibiwa kama anamuona kwenye glass ya maji ayamwage asinywe
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 Aug 13, 2016 Thread starter #13 mshana jr said: Ndio zilikuwa zetu. ..jamaa yangu aliwahi kujibiwa kama anamuona kwenye glass ya maji ayamwage asinywe Click to expand... π‘π‘π‘π‘π‘π‘
mshana jr said: Ndio zilikuwa zetu. ..jamaa yangu aliwahi kujibiwa kama anamuona kwenye glass ya maji ayamwage asinywe Click to expand... π‘π‘π‘π‘π‘π‘
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,104 Aug 13, 2016 #14 Atakuwa anavusha
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 35,790 Reaction score 86,538 Aug 13, 2016 #16 Amavubi said: SIKU HIZI MNATONGOZANA KWA SIMU MNAACHANA KWA SIMU Click to expand... wengine wanatumia shortcut kwa mgangaaa!! he he mapenzi kiboko...
Amavubi said: SIKU HIZI MNATONGOZANA KWA SIMU MNAACHANA KWA SIMU Click to expand... wengine wanatumia shortcut kwa mgangaaa!! he he mapenzi kiboko...
mapipando JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 2,922 Reaction score 3,563 Aug 13, 2016 #17 Ramea said: Mwenye mwandiko huu namfahamu. Click to expand... Sasa kama unamfahamu?
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,579 Reaction score 161,432 Aug 13, 2016 #18 mshana jr said: hulali lakini unaota Click to expand... Bila hiyo sentesi hupati MTU. Walikuwa wanapenda sana kuisikia
mshana jr said: hulali lakini unaota Click to expand... Bila hiyo sentesi hupati MTU. Walikuwa wanapenda sana kuisikia
Ramea JF-Expert Member Joined Mar 19, 2015 Posts 2,146 Reaction score 4,090 Aug 13, 2016 #19 mapipando said: Sasa kama unamfahamu? Click to expand... Nitamwambia akule tamu yako
mapipando JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 2,922 Reaction score 3,563 Aug 13, 2016 #20 Ramea said: Nitamwambia akule tamu yako Click to expand... We lofa nn mim sio ke.