Usiku mzito na vituko vya mauza uza

Usiku mzito na vituko vya mauza uza

Ameota, ila katika kuota alikua anapata feelings ya kwamba ni kitu kinatokea kweli na sio ndoto
Anasema,...."nikisema uwazi namaanisha matukio yaliyo kuwa yanatokea nayaona kwa uhalisia huko huko usingizini na ndotoni"

Sasa hapo utaelewa Nini ndg msomaji?

Yaani uhalisia halafu muda huo unayaona ndotoni. Au ndo Mixxx By Yas?
 
Ulishawahi kuota ndoto yenye ujumbe bila shaka, hiyo ndoto ukiamka huwa ina feeling kama ulikua unaona live na sio ndoto, tofauti na ndoto tu za kawaida.....

Aaaghh mi nmemuelewa kama hamjaelewa basi, mkale ugali sasa 😁
 
Anasema,...."nikisema uwazi namaanisha matukio yaliyo kuwa yanatokea nayaona kwa uhalisia huko huko usingizini na ndotoni"

Sasa hapo utaelewa Nini ndg msomaji?

Yaani uhalisia halafu muda huo unayaona ndotoni. Au ndo Mixxx By Yas?
Ngoja ulale ukufe afu sisi tuoe mke wako endelea na ubishi wako.
 
Back
Top Bottom