Usiku mzito na vituko vya mauza uza

Usiku mzito na vituko vya mauza uza

Kwamba ilikuwa ndoto halafu ukamuona kwenye macho ya uhalisia halafu ukanzaa kuomba mungu kwa imani yako
halufu ukamshinda HALAFU UKAPATA NGUVU ZA KUANDIKA UZI halafu umekula maknde ya degu ukavimbewa halafu tumia rungu kuangamiza hao kunguni maana nawaona hadi kwnye uzi wako
We ulitusimulia karama yako ya ndoto waotaji tulielewa, mbona umeamua kumdhihaki? Au unadhani umejaaliwa peke yako??
 
Mkuu kwa kusema mashuka ni machafu sio kweli kabisa sipo katika hatua hizo kabisa ni hali tu ya usiku kuwa vibaya na sio ndoto au kwamba nilikula chakula kigumu hapana nimekula kias kidgo sana.
Chumba kina hewa mkuu? 😂😂
 
734528.jpg
 
Muda unazidi kwenda hizi nazidi kuziona ni kama story za mwanamalundi
 
Back
Top Bottom