Nimecheka sana mkuu, asante kwa kunitoa msongo.Ameeeennnnn
lakini Hizi ni dalili za vitu viwili
a)Huna muda mrefu unakufa,dalili za kutupa mkono wa buriani hizi
b)Huna muda mrefu on the way to Dodoma kwenye Kitengo
Ameeeennnnn

hapo mwisho sijakusoma mkuu
hapo mwisho sijakusoma mkuu
Baada ya kazi zote za leo napenda kuwatakia usiku mwema na mtulivu mwenyenzi mungu awalinde kesho muamke mkiwa na mguvu na uchangamfu muendelee kumtumikia. Ndimi kijana wenu ninayetaka kuwa padri
Baada ya kazi zote za leo napenda kuwatakia usiku mwema na mtulivu mwenyenzi mungu awalinde kesho muamke mkiwa na mguvu na uchangamfu muendelee kumtumikia. Ndimi kijana wenu ninayetaka kuwa padri
Ameeeennnnn
lakini Hizi ni dalili za vitu viwili
a)Huna muda mrefu unakufa,dalili za kutupa mkono wa buriani hizi
b)Huna muda mrefu on the way to Dodoma kwenye Kitengo
Nawe Mungu akubariki.
Kweli Jambazi we kichwa.Unataka kuwa padri huku ukitumia fake id?