Acha hasira, isitoshe anatania. Lucas na wewe umesabisha hasira kwa wenzio, wakati ujao ututakie usiku mwema wana jf wooooooooooooooooote pamoja na walinzi kwani hata wakiwa lindoni bado wanahitaji kuwa na usiku mwema kwa kuwa usiku usipokuwa mwema kwao, wanaweza wakavamiwa au kushawishiwa kujiingiza katika vitendo viovu, hivi haujawai kusikia kwamba kuna walinzi ambao huwa wana kula njama za kujiibia, kwa hiyo husipowatakia usiku mwema wanaweza kukumbwa na zahama ya vishawishi, au kuvamiwa.