Thats my baby.Etiiiii.. na ndo sikuachi ivoo
Hajui huyo mfanyie baby
Haya kama mnajuana hakuna shida mkuuMke mwenzangu yule hatuna tatizo
Nashukuru sana shem sitosita kuja.Hana wivu sema akiona dalili ya kutaka kupinduliwa ndo haelewi.. karibu shemeji uwe unakuja kusalimia