Kiboko ni jina la YESU KRISTO TU.Juzi kati hapa nilishtuka usiku saa saba,nililala mapema sana,nikahisi kuchoka kulala nikaenda kulala kwenye kochi sebuleni,nikapitiwa usingizi kidogo mara nikafumbua macho utafikiri nimeamshwa hivi,,nikafumba macho tena ili nisinzie ile nataka kupitiwa tu nikaona kama nimepitiwa na giza usoni paa nikaamka tena nikaapuuzia nikalala ile hali ikajirudia ya kitu kama giza kinapita ,halaf kukawa na nguvu fulan sijui ilikua inatoka wapi inanilazimisha nipate usingizi mzito kweli wakati mi nikitaka kuamka lakin kuamka nashindwa ,,hiyo hali inanitokea huku naongea kimoyo moyo
. ,,nikaanza kusali wapi hakuna kitu,,mwili unaishiwa nguvu nakua najitahidi kuchezesha mguu ili nipate nguvu niamke lakin wapii,,,halaf nikawa siutaki ule usingizi kwani nakua naona napelekwa sehemu siijuii halaf inatisha
wakati nazidiwa kupata usingizi wa lazima nikasikia kitu kinanipuliza sikioni huku nikipata maumivu makali hapo hapo nikaamka tena nikakaa ,,nikajirudia zangu chumbani nikaona niende chumba cha ndugu yangu nilale nae maana mwanzoni nililala chumba kingine
Nimelala na huyu ndugu ,huwezi amini nikifumba macho nakua naona kama naonyeshwa kwenye tv,naona pote hadi nje kule ,kule sebuleni napaona halaf mwili ukawa unatetemeka napata maumivu ambayo sio makali sana nikaendelea kusali lakin hakuna kitu,,yaan sikulala jamani nikalzimishwa ule usingizi nikawa naona watu wawili wana giza kubwa wananirukia kwenye mwili wangu wanarudia kile kitendo ,,kumbe vile nahangaika nilikua nimvuta yule ndugu yangu anisaidie baadae nikashtuka nikaona nikae macho tu sasa,,asubuhi ilipofika yule ndugi yangu akaniambia leo ulikua unaning'ang'ania miguu yangu,,nikamwambia kuwa leo nimehangaika kulala tu ,,nikaona kazi kumsimulia
Hii mim hunitokea mara nyingii yaan sio mara ya kwanza kunitokea na hunitokea nakuwa najijua kabisa ila mwili unakuwa hauna nguvu,,,na mara nyingine huwa hadi naona natolewa nje huku moyoni nakua nasema Mungu wangu napelekwa wapii mie nikisali sali naashtuka
Siku zingine nalala tu tu vizurii,siku nyingine nakuwa hivyo
Je ni kuwangiwa au nin maana wengine husema uchawi hakuna cc Nyani Ngabu
Je wengine huwa mnalala tu vizuri au wengine mnahangaika kama mimi nifanyeje ili hii hali niiepuke kwa waganga siwezi kwenda kabisa ,,so usinishauri habari za waganga wala kwenda kanisani
Kuna siku napo nililala ikanitokea hivyo nilisikia napigiwa kelele masikioni kwa nguvu mpaka nikaamka,,siku nyingine najikuta napiga ukuta sijijui yale maumivu yananiamsha kiganja kinauma tatizo nakuwa najijuaa kabisa
Majini hayo mama Sabrina ikikutokea kama unajua kurani unasona suratinnasi yanaondoka.Juzi kati hapa nilishtuka usiku saa saba,nililala mapema sana,nikahisi kuchoka kulala nikaenda kulala kwenye kochi sebuleni,nikapitiwa usingizi kidogo mara nikafumbua macho utafikiri nimeamshwa hivi,,nikafumba macho tena ili nisinzie ile nataka kupitiwa tu nikaona kama nimepitiwa na giza usoni paa nikaamka tena nikaapuuzia nikalala ile hali ikajirudia ya kitu kama giza kinapita ,halaf kukawa na nguvu fulan sijui ilikua inatoka wapi inanilazimisha nipate usingizi mzito kweli wakati mi nikitaka kuamka lakin kuamka nashindwa ,,hiyo hali inanitokea huku naongea kimoyo moyo
. ,,nikaanza kusali wapi hakuna kitu,,mwili unaishiwa nguvu nakua najitahidi kuchezesha mguu ili nipate nguvu niamke lakin wapii,,,halaf nikawa siutaki ule usingizi kwani nakua naona napelekwa sehemu siijuii halaf inatisha
wakati nazidiwa kupata usingizi wa lazima nikasikia kitu kinanipuliza sikioni huku nikipata maumivu makali hapo hapo nikaamka tena nikakaa ,,nikajirudia zangu chumbani nikaona niende chumba cha ndugu yangu nilale nae maana mwanzoni nililala chumba kingine
Nimelala na huyu ndugu ,huwezi amini nikifumba macho nakua naona kama naonyeshwa kwenye tv,naona pote hadi nje kule ,kule sebuleni napaona halaf mwili ukawa unatetemeka napata maumivu ambayo sio makali sana nikaendelea kusali lakin hakuna kitu,,yaan sikulala jamani nikalzimishwa ule usingizi nikawa naona watu wawili wana giza kubwa wananirukia kwenye mwili wangu wanarudia kile kitendo ,,kumbe vile nahangaika nilikua nimvuta yule ndugu yangu anisaidie baadae nikashtuka nikaona nikae macho tu sasa,,asubuhi ilipofika yule ndugi yangu akaniambia leo ulikua unaning'ang'ania miguu yangu,,nikamwambia kuwa leo nimehangaika kulala tu ,,nikaona kazi kumsimulia
Hii mim hunitokea mara nyingii yaan sio mara ya kwanza kunitokea na hunitokea nakuwa najijua kabisa ila mwili unakuwa hauna nguvu,,,na mara nyingine huwa hadi naona natolewa nje huku moyoni nakua nasema Mungu wangu napelekwa wapii mie nikisali sali naashtuka
Siku zingine nalala tu tu vizurii,siku nyingine nakuwa hivyo
Je ni kuwangiwa au nin maana wengine husema uchawi hakuna cc Nyani Ngabu
Je wengine huwa mnalala tu vizuri au wengine mnahangaika kama mimi nifanyeje ili hii hali niiepuke kwa waganga siwezi kwenda kabisa ,,so usinishauri habari za waganga wala kwenda kanisani
Kuna siku napo nililala ikanitokea hivyo nilisikia napigiwa kelele masikioni kwa nguvu mpaka nikaamka,,siku nyingine najikuta napiga ukuta sijijui yale maumivu yananiamsha kiganja kinauma tatizo nakuwa najijuaa kabisa
Inadepend inaimani gani .Wakati unasali tumia sana jina LA Yesu. Hiyo ni miongoni mwa silaha za kiroho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeniwahi! [emoji1]Hapo sasa cc mshana Jr kama nakuona
Mapenzi nafanya lakin kuna muda nakuwa sitaki kabisa sitaki kuguswaaKiboko ni jina la YESU KRISTO TU.
hutaki kushauriwa kwenda kanisani... sasa huyo Jini Mahaba atakupa mimba kabisa au atakufanya kamwe usiweze kusex na Binadamu mwanaume aliyeumbwa kwa asili ya udongo.
shauri yako.
Unajini mahaba dada ..tafta mtu akutoe litakusumbua sana hilo.Mapenzi nafanya lakin kuna muda nakuwa sitaki kabisa sitaki kuguswaa
Chukua hatua, kafanyiwe maombi ndio tiba pekeeMapenzi nafanya lakin kuna muda nakuwa sitaki kabisa sitaki kuguswaa
Juzi kati hapa nilishtuka usiku saa saba,nililala mapema sana,nikahisi kuchoka kulala nikaenda kulala kwenye kochi sebuleni,nikapitiwa usingizi kidogo mara nikafumbua macho utafikiri nimeamshwa hivi,,nikafumba macho tena ili nisinzie ile nataka kupitiwa tu nikaona kama nimepitiwa na giza usoni paa nikaamka tena nikaapuuzia nikalala ile hali ikajirudia ya kitu kama giza kinapita ,halaf kukawa na nguvu fulan sijui ilikua inatoka wapi inanilazimisha nipate usingizi mzito kweli wakati mi nikitaka kuamka lakin kuamka nashindwa ,,hiyo hali inanitokea huku naongea kimoyo moyo
. ,,nikaanza kusali wapi hakuna kitu,,mwili unaishiwa nguvu nakua najitahidi kuchezesha mguu ili nipate nguvu niamke lakin wapii,,,halaf nikawa siutaki ule usingizi kwani nakua naona napelekwa sehemu siijuii halaf inatisha
wakati nazidiwa kupata usingizi wa lazima nikasikia kitu kinanipuliza sikioni huku nikipata maumivu makali hapo hapo nikaamka tena nikakaa ,,nikajirudia zangu chumbani nikaona niende chumba cha ndugu yangu nilale nae maana mwanzoni nililala chumba kingine
Nimelala na huyu ndugu ,huwezi amini nikifumba macho nakua naona kama naonyeshwa kwenye tv,naona pote hadi nje kule ,kule sebuleni napaona halaf mwili ukawa unatetemeka napata maumivu ambayo sio makali sana nikaendelea kusali lakin hakuna kitu,,yaan sikulala jamani nikalzimishwa ule usingizi nikawa naona watu wawili wana giza kubwa wananirukia kwenye mwili wangu wanarudia kile kitendo ,,kumbe vile nahangaika nilikua nimvuta yule ndugu yangu anisaidie baadae nikashtuka nikaona nikae macho tu sasa,,asubuhi ilipofika yule ndugi yangu akaniambia leo ulikua unaning'ang'ania miguu yangu,,nikamwambia kuwa leo nimehangaika kulala tu ,,nikaona kazi kumsimulia
Hii mim hunitokea mara nyingii yaan sio mara ya kwanza kunitokea na hunitokea nakuwa najijua kabisa ila mwili unakuwa hauna nguvu,,,na mara nyingine huwa hadi naona natolewa nje huku moyoni nakua nasema Mungu wangu napelekwa wapii mie nikisali sali naashtuka
Siku zingine nalala tu tu vizurii,siku nyingine nakuwa hivyo
Je ni kuwangiwa au nin maana wengine husema uchawi hakuna cc Nyani Ngabu
Je wengine huwa mnalala tu vizuri au wengine mnahangaika kama mimi nifanyeje ili hii hali niiepuke kwa waganga siwezi kwenda kabisa ,,so usinishauri habari za waganga wala kwenda kanisani
Kuna siku napo nililala ikanitokea hivyo nilisikia napigiwa kelele masikioni kwa nguvu mpaka nikaamka,,siku nyingine najikuta napiga ukuta sijijui yale maumivu yananiamsha kiganja kinauma tatizo nakuwa najijuaa kabisa
Huwa silali chali kabisaa ,,Suluhisho la hiyo kitu kwanza ni kusali na kulala na kitabu cha Imani yako, Pili na muhimu usilale Chali kamwe (Chunguza utaona mara zote unapotokewa na hiyo hali ni pale unapokuwa umelala chali) na mwisho chunguza Godoro unalolalia kama limechoka badilisha
Siringi kabisa hapo unanioneaTatizo lako mtaani unaringa sana, hata watu husalimii. Ndo mana usiku wanakuja kuliamsha dude kwako
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikafanyiwe wapi maombi na kina Gwajima au?Chukua hatua, kafanyiwe maombi ndio tiba pekee
Walishakuwepo wengi waliopitia makubwa kuliko hayo na wakashinda kwa Damu ya thamani ya Yesu Kristo.
Nalitoa wapi,na umejuaje ni jini mahaba
Nipo nipo tu kwenye imani
Wapo watumishi wengi tu wenye hofu ya Mungu na wanaweza kukuombea shida yako ikaisha HakikaNikafanyiwe wapi maombi na kina Gwajima au?
Nijini mahaba najua ..nausipolitoa litakukost sana ...hata kuolewa kwako itakuwa ngum kugombana nampenzi pasipo sababu zamsingi ..kumona mwanaume sikiti kwako .Nalitoa wapi,na umejuaje ni jini mahaba
kwa hiyo naruhusiwa kugombea jimbo ili kuzuia hayo mauza uza ? niwe nakulinda ndani ya mkumbatio?Hilo ni jina tu hakuna baba sabrina,