Usiku hautakiwi ushibe sana

Hutaki kushiba sana lakini unakula wanga, sukari na mafuta...

Ni sawasawa na kujaza maji kwenye gunia kijana...
 
hapo nitakua nimelala na njaa
 
Eti we Mti Mtu mbona mi nilikuona jana unapiga boooooonge ya diko a.k.a tonge nyama tonge,halaf unatuambia tusishibe saaaaaaaaana,watu tutakonda bureeeeeeeeeeee
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…