Usikose tamko la KKKT dayosisi ya Iringa leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usikose tamko la KKKT dayosisi ya Iringa leo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Francis Godwin, Jun 9, 2011.

 1. Francis Godwin

  Francis Godwin Member

  #1
  Jun 9, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wajumbe wa Halmashauri kuu ya kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) dayosisi ya Iringa jana wamekutana kwa ajili ya kuchunguza tuhuma mbali mbali zilizoelekezwa kwa kanisa hilo hasa kwa askofu wake Dkt Mdegella hivyo blogu ya Francis Godwin ni mzee wa matukio daima leo jioni itakuwa na tamko kamili juu ya sakata hilo
   
 2. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #2
  Jun 9, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  mbna mwamasika tuna cd ya uchafu alioufanya na mke wa mtu au kwa vile kastaafu?wanatuharibia Imani yetu.
   
 3. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #3
  Jun 9, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  patamu haapo..............
   
 4. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #4
  Jun 9, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Kanisa limeingiliwa!kwa wanaomfahamu wanasema aliwai dakawa na madawa zamni kidogo kabla hajamrudia bwana sasa nilidhani kaacha!
  Mungu aturehemu na haya mambo!
   
 5. KIWAVI

  KIWAVI JF-Expert Member

  #5
  Jun 9, 2011
  Joined: Jan 12, 2010
  Messages: 1,747
  Likes Received: 376
  Trophy Points: 180
  ile barua ya jana vipi, wameshaiconfirm ni ya kweli?
   
 6. l

  lebadudumizi Senior Member

  #6
  Jun 9, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  KKKT makao makuu wana haki kikatiba kuchunguza,kutoa adhabu kadri ya kosa/makosa.Askofu anaweza kuachishwa kazi makosa yakibainika ni makubwa.
   
 7. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #7
  Jun 9, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,314
  Likes Received: 5,605
  Trophy Points: 280
  Huyo Askofu Mdegela ni mchafu sana hafai hata...ila ana nguvu nyingi na source nyingi za donors ulaya anazo yeye anajiita askofu wa maisha....ajira fake yeye,vimada yeye hadi aibu sasa!!ila kwa maombi atashindwa tu....tupige goti na mikakati iendelee kusafisha uozo na kumtoa apumzike aachie wengine ssasa inatosha aogope mkono wa Mungu
   
Loading...