Usikose kipindi cha Reli na Matukio

DUSTBINCANE12L_02_600x.jpg
 
Shirika la reli yan mnatuma thread kwenye kagoogle pixel tena 3a badala ya kompyuta mpakato za ofisini😳😳😳

Hii nchi inachezewa sana
 
Kila siku ni vipande viwili tu na ziara zisizoisha za viongozi.

Leteni na mfululizo wa makala za lot 5 tuone hizo 31% zilizofikiwa Mwanza-Isaka.

NB:
Mchakato wa wamiliki wa ardhi za kurithi kupata nyaraka za mirathi umejaa urasimu mwingi mno mahakama za mwanzo.

Kaongeeni na hao mahakimu wanaoonekana kazini mara mbili kwa wiki wawape kipaumbele hao waliopitiwa na mradi la sivyo watachelewesha mradi tu.

Watu hawahami bila kulipwa na hawalipwi bila huo mchakato kukamilika.
 
Back
Top Bottom