HaMachiach
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 3,450
- 6,211
Ametoka leoKumbe mnatukana watu ili mpate kujaza kanisa
duh hii si ya kukosa. fainali hii
hahahah, hilo neno bashite ukimwambia asome atasoma kolomije huku anakandamiza kibara kama masanja😀😀😀Mbona hajaongelea wageni toka Call-Me-J?
Vipi ule ugeni uliosemekana utakuja kutoka koromije utakuwepo?*TAARIFA*
Karibu kwenye Ibada ya Jumapili 05/03/2017 katika Kanisa la Ufufuo na Uzima, Ubungo, Dar es Salaam. Askofu Dr Josephat Gwajima atakuwepo akifundisha na kuwaombea wenye shida na matatizo mbalimbali. Kama ilivyo kawaida miujiza na mambo mengine makubwa yatafanyika.
Kanisa liko ubungo karibia na jengo la TANESCO. Ibada itaanza asubuhi saa mbili kamili na Pia itarushwa live kwenye vituo vifuatavyo:
Rudisha Radio: www.mixlr.com/rudisha-radio
Na YouTube Channel: www.youtube.com/user/ufufuonauzima
Mtaarifu na mwenzako.
Unajua maana ya matusi wewe Bashite?Kumbe mnatukana watu ili mpate kujaza kanisa
Mungu ashukuliweAmetoka leo
Ugeni wetu jamani kutoka Kolomije.Itakuwa wamekaa mezani na kujadiliana aachane na hoja ya wageni. Ninawasiwasi kama kesho atazungumzia hiyo ishu. Ngoja tusubiri
Wewe ndiye msemaji wa Gwajima?Itakuwa wamekaa mezani na kujadiliana aachane na hoja ya wageni. Ninawasiwasi kama kesho atazungumzia hiyo ishu. Ngoja tusubiri
Kama ya baba yako gwajimaUnajua maana ya matusi wewe Bashite?
Ataonyesha vyeti vya Bashite?*TAARIFA*