Kwa experience yangu nimegundua kuwa kuna dhambi mtu akifanya tu kama hajatubu automatically anakuwa ameanza kufa ndani hivyo maisha yake yanapunguzwa au kukatwa kabisa. Siwezi kukuorodheshea aina ya dhambi za mauti ila jitahidi kuepuka dhambi. Kuna dhambi ukiitenda tu mbingu zinaandika kuwa umefanya dhambi ya mauti baada ya hapo kitakachofuata ni kifo.
Wengi sana wamekufa pre mature kwasababu ya dhambi.
Ndugu yangu,tuusiane kutenda mema tu....tuusiane tusiumizane...Ila kutishia kifo Kuna watu hutamani kufa kila siku kwa namna changamoto za maisha zilivyowaandama