Maccavelli
Senior Member
- Jul 18, 2018
- 173
- 174
Ulikua ni asubuhi tulivi nilipo kutana na kijana yule ilikua stendi ya magari iliyo mkoani Arusha, tuli salimiana vizuri tukapiga story mbili tatu
akaanza kunielezea kuhusu maisha yake:-
Yeye ni muhitu ktk chuo kikuu kimoja kikubwa pale mkoani Dodoma, alihitimu miaka 2 iliyo pita akiwa na tumaini akitoka tuu chuo angeli weza kapata chochote kama ajira nzuri lakini mambo yakawa ndivyo sivyo.
Aliamua kuanza biashara ndogo ya kumuingizia chochote ili aweze kusaidia Familia yake, lakini biashara haikudumu hata miezi mi 3
Akaamua kuanza kubeba mizigo ambayo ndio kazi aifanyayo mpaka Sasa, akiwa na matumaini Kuna siku atafanikiwa tuu kwani maisha popote.
Nilimpa moyo kwa ujasiri na kumsihi asikate tamaa daima, hili ni funzo zuri kwa wahitimu wote wa vyuo vikuu, inabidi kujitoa na kujituma kwa juhudi zote kwani hakuna aijuae kesho Mwenyezi MUNGU watu sote .