Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,358
- 100,385
Niruhusu hii iwe story ya siku nyingine, kwa kifupi nilikua na Kaka, alisimama upande wangu then kila kitu kikaja kurudi mara tatu ya pale, ila kwenye maisha si vyema sana kumwamini kila mtu na kueleza kila kitu kw akila mtu kwa sababu tu ni Rafiki, mpenzi, jirani etc.Mkuu asantw kwa maneno mazuri ya faraja.Napenda mwendelezo wa story baada ya hapo kuacha kazi nini kilitokea,na je kazi uliyikuwa wafanya ilikuwa ni private au serikalini?
Naomba mrejesho nijifunze kitu
Sikuwahi kufanya kazi serikalini japo nilipata post ya kwanza kuwa Mkufunzi kwenye chuo cha Ualimu but sikwenda. Nimeishi kwenye NGOs zaidi. Kwa mkataba wa mwaka mwaka renewableMkuu asantw kwa maneno mazuri ya faraja.Napenda mwendelezo wa story baada ya hapo kuacha kazi nini kilitokea,na je kazi uliyikuwa wafanya ilikuwa ni private au serikalini?
Naomba mrejesho nijifunze kitu
Asante Mkuu,ujumbe wako mzuri sana nimeupenda.Niruhusu hii iwe story ya siku nyingine, kwa kifupi nilikua na Kaka, alisimama upande wangu then kila kitu kikaja kurudi mara tatu ya pale, ila kwenye maisha si vyema sana kumwamini kila mtu na kueleza kila kitu kw akila mtu kwa sababu tu ni Rafiki, mpenzi, jirani etc.
Karibu sanaAsante Mkuu,ujumbe wako mzuri sana nimeupenda.
Maisha ni fumbo kubwa sana. aliyekuwa boss wako anaweza kuwa chini yako, aliyekuwa adui yako anaweza kuwa rafiki yako na mifano mingi mingi. Maisha hayana kanuni, maisha hayatabiriki, maisha, maisha.
Kuna watu muda huu wanahisi kudharauliwa, kunyanyasika, kukata tamaa, kukataliwa, ni kama vile dunia imefika mwisho kwao. Kama vile hakuna tena kesho. Kama vile hakutambazuka tena, kama vile dunia nzima imesimama kinyume na wewe, kama vile wapenzi wako wote wanakucheka, kama vile marafiki zako wote wamekukimbia. Nataka nikutie moyo kuwa USIKATE TAMAA, KUNA MTU ANAKUTEGEMEA, ANATAMANI AWE KAMA WEWE.
Dunia, watu, wapenzi, marafiki na hata watoto wako kamwe hawawezi kukupa kile kitu unakitaraji kila wakati kwahio tegemea kuna nyakati za kuachwa, kuacha, kuumia, kuumizwa, kulia, kucheka, kufurahi, kupata uwendawazimu na kila namna ya dunia hii. Usikubali, sema kuwa wewe ni zaidi ya hayo yote, utasimama tu, ni storm tu itapita. Ikishakupita kila kitu kitabaki kuwa histori na utajiuliza uliwazaje kupita katika hayo yote.
Mwaka 2008 nilifanya maamuzi ya kuacha kazi, kazi ilikua nzuri na sikua na majukumu kiivyo, niliishi vile nilivyopenda, nilipata kile nilichotaka lakini maamuzi ya kuacha kazi hayakua rahisi, ghafla nikajikuta nimesimama peke yangu. Kuna nyakati nilikesha hadi asubuhi, unajiuliza ni wapi ulimkosea MUNGU, unajiuliza ni nini hasa kosa lako hadi kustahili malipo makubwa na machungu kiasi hicho? Nataka nikutie moyo, yatapita, utasimama tena, Kuna nguvu ndani yako, isikilize na ifuate hio, pale unapoona sauti ya kukata tamaa na kukataliwa ikizidisha sauti ongeza SAUTI ya maombi na HOPE, Sema there will be tomorrow, sema wewe sio wa kwanza na hutakua wa mwisho.
Hakuna kitu kibaya kama kukata tamaa, hakuna dhambi kubwa kama kurudi nyuma kwasababu tu Mpenzi uliyemwamini amekuumiza moyo, amekusaliti, SIMAMA tena, simama, simama, unaweza, utapona, wanasema GIVE IT TIME, TIME HEALS. Usiwaze kulipa kisasi, wewe ni zaidi ya kisasi, wewe ni shujaa, endelea kuwa shujaa hata leo.
Ukikataliwa, Ukibezwa, ukidharauliwa, aaaghhh remember this, HAKUNA UA LINAOTA BILA KUFA KWANZA. simama, simama, simama, kwanini ukate tamaa leo? Mbina hukuwajua hawa kabla? Kwanini ukubali kuweka maisha yako rtehani kwa ajilki ya furaha ya muda uonekane mwema? Nakutia moyo simama, simama, simama. It is just a bad day, itapita. Ukiwa na hasira za kulipiza kisasi Nature itakukana, itakukataa, forgive and forget.
Usikate tamaa, tunakutegemea na wewe ndio role model wetu. Kesho pia ni siku.
Barikiwa
Ahsante Mkuu,nipo pamoja na wewe naimani story yako itanifundisha na kunijenga pia.Karibu sana
Shukranni Sana kwa ujumbe muruaMaisha ni fumbo kubwa sana. aliyekuwa boss wako anaweza kuwa chini yako, aliyekuwa adui yako anaweza kuwa rafiki yako na mifano mingi mingi. Maisha hayana kanuni, maisha hayatabiriki, maisha, maisha.
Kuna watu muda huu wanahisi kudharauliwa, kunyanyasika, kukata tamaa, kukataliwa, ni kama vile dunia imefika mwisho kwao. Kama vile hakuna tena kesho. Kama vile hakutambazuka tena, kama vile dunia nzima imesimama kinyume na wewe, kama vile wapenzi wako wote wanakucheka, kama vile marafiki zako wote wamekukimbia. Nataka nikutie moyo kuwa USIKATE TAMAA, KUNA MTU ANAKUTEGEMEA, ANATAMANI AWE KAMA WEWE.
Dunia, watu, wapenzi, marafiki na hata watoto wako kamwe hawawezi kukupa kile kitu unakitaraji kila wakati kwahio tegemea kuna nyakati za kuachwa, kuacha, kuumia, kuumizwa, kulia, kucheka, kufurahi, kupata uwendawazimu na kila namna ya dunia hii. Usikubali, sema kuwa wewe ni zaidi ya hayo yote, utasimama tu, ni storm tu itapita. Ikishakupita kila kitu kitabaki kuwa histori na utajiuliza uliwazaje kupita katika hayo yote.
Mwaka 2008 nilifanya maamuzi ya kuacha kazi, kazi ilikua nzuri na sikua na majukumu kiivyo, niliishi vile nilivyopenda, nilipata kile nilichotaka lakini maamuzi ya kuacha kazi hayakua rahisi, ghafla nikajikuta nimesimama peke yangu. Kuna nyakati nilikesha hadi asubuhi, unajiuliza ni wapi ulimkosea MUNGU, unajiuliza ni nini hasa kosa lako hadi kustahili malipo makubwa na machungu kiasi hicho? Nataka nikutie moyo, yatapita, utasimama tena, Kuna nguvu ndani yako, isikilize na ifuate hio, pale unapoona sauti ya kukata tamaa na kukataliwa ikizidisha sauti ongeza SAUTI ya maombi na HOPE, Sema there will be tomorrow, sema wewe sio wa kwanza na hutakua wa mwisho.
Hakuna kitu kibaya kama kukata tamaa, hakuna dhambi kubwa kama kurudi nyuma kwasababu tu Mpenzi uliyemwamini amekuumiza moyo, amekusaliti, SIMAMA tena, simama, simama, unaweza, utapona, wanasema GIVE IT TIME, TIME HEALS. Usiwaze kulipa kisasi, wewe ni zaidi ya kisasi, wewe ni shujaa, endelea kuwa shujaa hata leo.
Ukikataliwa, Ukibezwa, ukidharauliwa, aaaghhh remember this, HAKUNA UA LINAOTA BILA KUFA KWANZA. simama, simama, simama, kwanini ukate tamaa leo? Mbina hukuwajua hawa kabla? Kwanini ukubali kuweka maisha yako rtehani kwa ajilki ya furaha ya muda uonekane mwema? Nakutia moyo simama, simama, simama. It is just a bad day, itapita. Ukiwa na hasira za kulipiza kisasi Nature itakukana, itakukataa, forgive and forget.
Usikate tamaa, tunakutegemea na wewe ndio role model wetu. Kesho pia ni siku.
Barikiwa
Barikiwa sana
BarikiwaSomo zuri sn watu kama hawa nchi za weatern ni wamuhim sn kufanya counseling
Faida yake itazalisha watu wachapa kazi,watu wenye imani watu wasio fikilia kujinyonga
Hongera sn mwandishi big up
Una ushauri bab kubwa
AmenAhsante Mkuu,nipo pamoja na wewe naimani story yako itanifundisha na kunijenga pia.
kama umeniandikia mimi kila kitu kimesimama kazi imepotea na, ndugu, marafiki na familia wamepotea sioni feature yoyote nipo km sipo sehemu pekee nilipobakiwa nako ni humu jf ..GOD help me.Maisha ni fumbo kubwa sana. aliyekuwa boss wako anaweza kuwa chini yako, aliyekuwa adui yako anaweza kuwa rafiki yako na mifano mingi mingi. Maisha hayana kanuni, maisha hayatabiriki, maisha, maisha.