Usikate tamaa hujui future yako

Usikate tamaa hujui future yako

I AM WHO I AM

Member
Joined
Oct 18, 2012
Posts
49
Reaction score
35
Miaka kadhaa iliyopita rafiki yangu alitaka kukatisha maisha kisa hali ngumu. Hakuwa na fedha, hakupata wa kumsaidia. Alitengwa na familia. Kikubwa alijiepusha na madawa ya kulevya.
Leo hii ni mtu ana nyumba, magari na kazi nzuri ilhali anawasaidia wengine.
Je, umekata tamaa? Ni pm nikupe mkasa mzima.
 
weka hapa watu wote wajisomee wenyewe
 
yaani kuweka mkasa mpaka mtu akupm,weka apa watu wote wasome
 
Back
Top Bottom