Usijisumbue kuangalia hapa kama wewe sio tajiri...

Ashura9

JF-Expert Member
Oct 21, 2012
740
485
Do not bother with this house design if you're not rich.
More details ID 25703


ID 25703
Luxury living with 5 bedroom mansion with gym, family room and all en suite rooms

PLAN DETAILS

DIMENSIONS

Width: 36.6 meters
Depth: 23.6 meters

Open: 198.0 m2
Enclosed: 827.5 m2
TOTAL AREA: 1025.5 m2

Stories: 2
Bedroom: 5
Self-contained rooms: 5
Toilets: 7
Kitchen: 1
Dining room: 1
Living room: 1
Balcony: 5
Verandah: 6
Gym: 1
Family room: 1
Office/ Study: 2
Laundry: 1
Store/Linen: 3

ARCHITECTURAL DRAWINGS LIST
Floor Plans
Roof Plan
Sections
Elevations
Door and Window Schedule
Construction details
Schematic electrical layout
Waste and foul water drainage
Furniture layout
Entrance gate & Perimeter wall
Septic & Soakage pit


MARAMANI.COM
 
Sasa kuna matajiri wanatafuta design ya nyumba Jf ?? Tutapita tu sisi maskini hamna namna

Nenda Upanga kwa OIL COM halafu utuambie kama zile nyumba zake design alitoa Jamii forum
 
National Museum kabisa , Hata kama ningekuwa na hela zinamwagika Familia ya watu 5 hili lijumba lote la nini ? Inafaa kuwa hotel zile BNB
 
National Museum kabisa , Hata kama ningekuwa na hela zinamwagika Familia ya watu 5 hili lijumba lote la nini ? Inafaa kuwa hotel zile BNB
ndio maana ya utajiri yaani hela ipo tu haina kazi hata utumie vipi ipo tu.... Tajiri haweki BNB hizo ni za maskini...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom