Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,356
- 29,316
basi wewe si mhangaikaji bwasheeHizo kazi za kufanya halafu niache kula bora niachane nazo tu nikapande mchicha na mahindi ili nile kwanza
dah kwel kabisa ndugu hii dunia ukiitafakari sana unaweza kupagawa,kubwa kila mtu apambane ha hali yake tuDunia hii ya ajabu sana. kuna wanao skip meal kwa kukosa pesa na kuna wale pesa ipo, na chakula kipo ila wanaoskip kwa kutaka shape na kumaintain figure, na kuna wale waliozidiwa unene
Kuna kuuhangaisha mwili na kuangaisha akili usichanganye hayo mambo bwashee 😄basi wewe si mhangaikaji bwashee
yeah hii nayo ni idea nzur sana ambayo baadhi ya watu wanaitumia kupunguza gharama za maishaPendekezo: Beba chakula kutoka home.
Ni mtifuano tuDunia hii ya ajabu sana. kuna wanao skip meal kwa kukosa pesa na kuna wale pesa ipo, na chakula kipo ila wanaoskip kwa kutaka shape na kumaintain figure, na kuna wale waliozidiwa unene
Nimeipenda hiiKuna kuuhangaisha mwili na kuangaisha akili usichanganye hayo mambo bwashee 😄
Ukilaza akili vitakavyo teseka nisehemu za mwili, mimi nakula kwanza nashiba halafu ndio mengine yanafuata , mambo ya kujitesa🤗 maisha yenyewe mafupi ni kufisika utashi tuNimeipenda hii
Yaani acha tu... neno litimie kila mtu asimame kwenye nafasi yake 😀 😀 😀Ni mtifuano tu
Watu wenye vipato vizuri wanajua shida wanazopitia watu wengine.View attachment 3539431
PEOPLE,
Hii ni kwa watafutaji na wahangaikaji wote popote mlipo,endeleeni kupambana.
Kwa watu ambao wana vipato vizur hawawezi kujua kwamba kuna watu ambao inabidi mida ya lunch time wakaushe kimya bila kula,sio kwamba hawapendi ila ni kwasababu hisabati hairuhusu kupata mlo wa mchana.
Unakuta mtu akifanya hisabati zake za kula home,Bill mbali mbali bila kusahau nauli ya kwendea mzigoni,anajikuta bajeti iko tight kinoma,tukio lolote la kucheza na bajeti hiyo,inahatarisha ratiba nyengine za maisha
Watafutaji wote msikate tamaa wala msijisikie vibaya,hizo ni stage za maisha tu,wengi sana wameyapitia hayo akiwemo the bey himself,kwahiyo hakuna kujisikia unyonge keep head up,yatapita tu,siku zote tambua maisha ni mchakato kwahiyo nawe upo kwenye mchakato,ipo siku itakuwa historia kwako.
Endelea kupambana,hata huko mambele kuna watu wanaskip meals kama kawaida na wanasongesha maisha kama kawa,wewe sio wa kwanza kuna mamia ya watu wapo hivyo pia.
Kataa unyonge na endelea kupambana one day itakuwa historia,itabaki kuwa sehemu ya mapito ambayo uliwahi kupitia katika maisha yako
Ni hayo tu!
bwashee kuna nyakati ambazo hisabati zinakataa tu,trust meUkilaza akili vitakavyo teseka nisehemu za mwili, mimi nakula kwanza nashiba halafu ndio mengine yanafuata , mambo ya kujitesa🤗 maisha yenyewe mafupi ni kufisika utashi tu
Hizo ratiba nyingine za maisha zina umuhimu gani sana kuliko wewe kula? hivi kuna kitu muhimu kingine kwa kiumbe kilicho hai zaidi ya kula?Unakuta mtu akifanya hisabati zake za kula home,Bill mbali mbali bila kusahau nauli ya kwendea mzigoni,anajikuta bajeti iko tight kinoma,tukio lolote la kucheza na bajeti hiyo inahatarisha ratiba nyengine za maisha
si kwa asilimia 100 boss wanguWatu wenye vipato vizuri wanajua shida wanazopitia watu wengine.
Hapa hatuachi kula kabisa,ila tunapiga rakaa mbili,asubuhi na usiku,mchana tunakaushaHizo ratiba nyingine za maisha zina umuhimu gana sana kuliko wewe kula? hivi kuna kitu muhimu kingine kwa kiumbe kilicha hai zaidi ya kula?
Kula inatakiwa iwe top priority yako ili upate nguvu na akili yakufuatilia hayo mambo mengine,kuskip kula sio ujanja kisa unabana hela ufanye mambo mengine,hayo mambo mengine hayawezi kuna na umuhimu zaidi ya uhai wako.
Kazi isiyo kupa chakula bora kuachana nayo tu ,ukalime chakula kwanzabwashee kuna nyakati ambazo hisabati zinakataa tu,trust me
Kama hufanyi kazi ngumu hakuna tatizo kula milo miwili kwa sikuHapa hatuachi kula kabisa,ila tunapiga rakaa mbili,asubuhi na usiku,mchana tunakausha
Kama Mungu amekupa riziki ya wewe kua na uwezo wa kula ila ukafanya ubahili kwa kuutesa mwili wako na njaa,Hapa hatuachi kula kabisa,ila tunapiga rakaa mbili,asubuhi na usiku,mchana tunakausha