usijisifu una mimba!!!

usijisifu una mimba!!!

Jospina

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
2,421
Reaction score
1,395
wadada wengi wamekuwa na kasumba ya kujisifu na kuringishia wenzao kuwa wana mimba ushauri wangu wa bure unapaswa kumsifu na kumshangilia huyo aliyekupachika mimba.

wakati mwema
 
Kumbe. Kwa vile wewe umezipachika za kutosha kila mtaa ndo unataka usifiwe.
Kweli hii ni Tz.
 
Kama kupachika ni sifa, jaribu kupachika kwenye mparachichi.
 
Hahahahaaaaaa unanikumbusha yule aliesema kuwa Msafara wa Simba hauhitaji Escort.......tuwasifu wote mtia na mtiwa......
 
Acha kabisa wajisifie si kazi ndogo. Sio kitambi eti ujue

Acheni viburi vya kibinadamu!Sifa zimrudie Mwenyezi Mungu binadamu hana cha kujisifu hapo hata chembe!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Acheni viburi vya kibinadamu!Sifa zimrudie Mwenyezi Mungu binadamu hana cha kujisifu hapo hata chembe!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Hicho kiburi cha kibinadamu unasema wewe na upofu wako,

Ni kweli sifa zinastahili kumrudia Mungu na hakuna naepinga hilo lakini unadhani ni kazi rahisi?

Je unahabari kuna watu wanatoa ujauzito kwa kuwa wanaona ni kero na unawapa taabu?

Mke wangu ni mjamzito na ninapomuangalia huwa namuangalia namtukuza Mungu lakini pia ninajua siyo kazi rahisi na anahitaji kutiwa moyo
 
wadada wengi wamekuwa na kasumba ya kujisifu na kuringishia wenzao kuwa wana mimba ushauri wangu wa bure unapaswa kumsifu na kumshangilia huyo aliyekupachika mimba.

wakati mwema

Du kweli upo Morogoro kwa afande Sele huenda na wewe unalipuliza
 
Back
Top Bottom