Usijifunue....!

ila ukifanikiwa kumlipizia mtu raha sana, i always enjoys doing it.
 
Kumbe mganga hajigangi....[emoji87] [emoji87]
 
hata mm Niko hvyoo...

na hua inanicost sana..

na nilishaonywa Ila sisikii...

yaani wewe ni muaminifu Ila unaemuamini ni chui Mwenye ngozi ya Kondoo
Mkuu...
PM yangu umeiona.....[emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Kaka Mshana tudodosee yapi yalikukuta ili nasi utupe ututoe ukungu wa kufikiri ni jambo gani lililo kukuta
 
Inamana matunguli hayajafanya kazi vizuri au ndio mganga hajigangi?πŸ˜‰πŸ˜€πŸ˜€
[emoji3] [emoji3] [emoji3] tumemalizana kiroho safi na maumivu juu [emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…