Usijifunue....!

Hata sijui niko wapi kwakweli lol
 
Ana hazina kubwa sana ya uchawi nashangaa anashindwa kuitumia humu

Aaaah! Kumbee, sasa hazina hii kubwa aliyonayo kuna mpango mkakati wowote wa kuirithisha kwa sisi wana jukwaa??
 
hata mm Niko hvyoo...

na hua inanicost sana..

na nilishaonywa Ila sisikii...

yaani wewe ni muaminifu Ila unaemuamini ni chui Mwenye ngozi ya Kondoo
watu wana roho mbaya dear kweli mimi simuamini mtu tena .nilikuwa naamini watu sana .nimejifunza vibaya sana .yaani acha kabisa binadamu hasa wanaume nawaangalia tu basi siku ipite
 
watu ni wabinafsi sana.wengine tuna roho nzuri wanatufundisha kuwa na roho chafu
 
watu wana roho mbaya dear kweli mimi simuamini mtu tena .nilikuwa naamini watu sana .nimejifunza vibaya sana .yaani acha kabisa binadamu hasa wanaume nawaangalia tu basi siku ipite
mwanaume sio ndugu yako
 
yaani mi nikipatwa na tatizo siwezi kukaa nalo....

Kama hivi kuna mtoto ananisumbua humu jf, yaani hata nikikutana na mtu barabarani namsimamisha kuanza kumwelezea kinachonisibu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Amini kila mtu, sio kwavile ni muaminifu kwako, bali uaminifu ni silaha ya kumjua ulienae
 
Umenikumbusha mbali miaka ile wakati nasoma PSYCHATRIC/MENTAL HEALTH
juu ya INTROVERT PERSONALITY na EXTROVERT PERSONALITY.
 
Always be smart when communicating with anybody before saying something about your self.We always end up being hurt through be open minded to the people who never care about you.#Be SMART.
 
Learnt somethings the hardway,I trust nobody.. Kuelezea issues zangu I can't
Bas roho ishakua ngumu nabaki nawachora wanaofunguka kwangu n find em naive... pain changes people so much
 


Hivi wale student waalim walofurushwa Udom na hawa CCM na kuitwa vilaza na wamefeli hawafai kuwako palee

√√Niko curious kuhusu neno kilaza sababu wale wengi walikuwa wako compitent hasa, sema ex mkuu ndo alipanga hiyo ishuu ili kupata walim
 
Learnt somethings the hardway,I trust nobody.. Kuelezea issues zangu I can't
Bas roho ishakua ngumu nabaki nawachora wanaofunguka kwangu n find em naive... pain changes people so much
Uchoyo huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…