Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 10,999
- 23,527
Simu yenyewe sasa iwe ya maana. Kasimu gani hako?Simu unafanyia biashara gani?
Simu yenyewe sasa iwe ya maana. Kasimu gani hako?Simu unafanyia biashara gani?
Ebhana, hiii sasa imeanza kusaundi kama better idea.Ngoja nikuonyeshe na mm natumia simu ya mkopo kutoka tigo
Ukilipa tu chap baada ya dakika 3 mb zako 562 zinaingiaUnapewa kila siku na ipo kwenye mkataba unaosign
Nakuelewa mkuuMdogo wangu alikopa, nikaona nami nikope, ila niliingia kichwa kichwa, najuta!!! Ni aina fulani ya unyonyaji, nafuu ningeuza chochote ninunue kwa cash. Narudia kwa msisitizo "USIKOPE". Jitahidi ununue kwa cash. Niliingia tu kwa utafiti, matokeo ni hayo. Chonde chonde.
Una nondo za hatari nimekusoma vizuri kuanzia mwanzo safi kabisa mashallah🌹Unajua ni kwanini? Huwa hatupigi hesabu ya faida tunayopata tunaangalia anachopata mwingine na kama ni kikubwa bora biashara ife au malalamiko yanaanza.
Mtu anaweza jenga nyumba kwa thamani ya m10, akasema anaiuza m15. Huyu ataridhika kabisa na hiyo m15 ikipatikana ila dalali atakapoleta mteja wa m35 na kumwambia achukue 15 zake nyingine azitoe biashara inaweza kufa. Sababu ni hajaangalia tena 15, ameangalia anayopata mwingine.
Mfano hapa, mtu analalamika gharama ya laki tatu kwa mwaka ni kubwa mno ila hapigi mahesabu hiyo laki nne anayokaa nayo inaweza kuzalisha kiasi gani ili apime kama laki tatu ni kubwa au ndogo, yeye kaangalia tu hiyo laki tatu.
Jiulize huo ukubwa wa laki tatu unaolalamikiwa umepimwa vipi?
Sio unyonyaji it's business ndugu yanguHawa jamaa sio wazuri sumsung A03 sijui A14 hahaha et kwa siku 2000 kuanzio 50k.
Kwa mwaka inakuja kama laki 7 na elf 70.
No huu ni unyonyaji.