Usije kusema hujaambiwa, au eti hujui.

Usije kusema hujaambiwa, au eti hujui.

CCM Music

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2018
Posts
1,036
Reaction score
1,788
Mwanamke:

Ana uwezo wa 100% kufanya maisha yako yafike kilele kikuu cha mafanikio.

Lakini ana uwezo huo huo wa 100% kufanya maisha yako yafike kilele kikuu cha taabu na dhiki.

Anaweza akawa hakupi hela, hajasoma, hana elimu, hana maarifa ya utafutaji lakini ana kitu kikubwa sana cha ziada ambacho ni kama manukato ya kuvutia mafanikio. Wanaume wote waliofanikiwa hili wanalijua.

Fanya hivi: Usimnunie, usimkasirishe, mdekeze, mpe kila kitu kilicho ndani ya uwezo wako, make her feel hii dunia anaibeba kiganjani mwake. Akikukosea, au akileta ujinga ama dharau mpe kelebu za kutosha, lkn mpe dunia yote (if you can understand)

Kamata hii siri: Mwanamke ni battle field ama battle ground kati ya Mungu na mungu (sio kila mwanamke)

Point: Fanya review ya mahusiano yako kila siku bila kuchoka. Namaanisha mwanamke yupi una mahusiano naye na vipi mnahusianaje. Ukichemka hapa, umeenda na maji rafiki.

Mwanamme:

Mwanamme mwenye uwezo aidha darasani, ama ana wadhifa ofisini ama ana pesa ana uwezo wa 100% kukufikisha kwenye kilele cha mafanikio yako, lakini hana uwezo wa 100% kukushusha chini.

Cha muhimu hapa uwe na akili tu jinsi ya kwenda naye. Wape ufalme na uwe na akili. Narudia tena wape ufalme na uwe na akili. Narudia tena wape ufalme na uwe na akili. Nasisitiza wape ufalme na uwe na akili. Umemaliza kazi. Utapanda hadi juu.
 
uzi tayari..............
nasubiri comments za raia
Huu uzi sio kwa ajili ya kila member. Ina mix mambo ya kidunia na kiroho zaidi, wengi hawataelewa nini kimeandikwa hapa. Akina Mshana Jr ndio wanaweza kuelewa kwa kina zaidi
 
Nyie wajazeni ujinga tu, wanawake ndo wahanga wakubwa was divorce na single parentism, wanapaswa wafundishwe namna ya kuishi na wanaume na ni hivyo toka enzi za mababu. Lkn tamthilia na umaghalibi unawadanganya. Mwanaume hata sikumoja hawez kuwa mtumwa wa mwanamke labda km hajagonga bado. Eti usiseme hukuambiwa! Wakati akina kapuya wanaoa kila cku. Akizingua chukua mwingine
 
Me naona asilimia 100% ya wanawake wa sasa wauwezo wa kukufikisha ktk 0 position ila si 100 position ( sababu kubwa Tz inazidi kuwa na wadada mayatima wengi kuliko nchi yeyote ile duniani)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom