Nguva Jike
JF-Expert Member
- Jan 22, 2018
- 1,267
- 1,819
Pole mkuuHabari za jioni.
Baadhi ya paka na mbwa hawapigwi ovyo.Ukimpiga teke usiku utakiona kilicho mtoa mbuni manyoya.
Kama huamini Fanya kama unajaribu vile.Nilikutana na kisanga hicho Muheza Tanga.
Mkuu sasa huko Tanga na sumbawanga si ni miji ya wachawi? Unaanzaje kupiga paka teke, jaribu hata kupiga kifuu tu uone shughuli yakeHabari za jioni.
Baadhi ya paka na mbwa hawapigwi ovyo. Ukimpiga teke usiku utakiona kilicho mtoa mbuni manyoya.
Kama huamini fanya kama unajaribu vile. Nilikutana na kisanga hicho Muheza, Tanga.
Muheza sehemu gani mkuu,Habari za jioni.
Baadhi ya paka na mbwa hawapigwi ovyo. Ukimpiga teke usiku utakiona kilicho mtoa mbuni manyoya.
Kama huamini fanya kama unajaribu vile. Nilikutana na kisanga hicho Muheza, Tanga.
Uzi tayarHabari za jioni.
Baadhi ya paka na mbwa hawapigwi ovyo. Ukimpiga teke usiku utakiona kilicho mtoa mbuni manyoya.
Kama huamini fanya kama unajaribu vile. Nilikutana na kisanga hicho Muheza, Tanga.
Tupe full storyHabari za jioni.
Baadhi ya paka na mbwa hawapigwi ovyo. Ukimpiga teke usiku utakiona kilicho mtoa mbuni manyoya.
Kama huamini fanya kama unajaribu vile. Nilikutana na kisanga hicho Muheza, Tanga.
Ni kwa baadhi ya maeneoHabari za jioni.
Baadhi ya paka na mbwa hawapigwi ovyo. Ukimpiga teke usiku utakiona kilicho mtoa mbuni manyoya.
Kama huamini fanya kama unajaribu vile. Nilikutana na kisanga hicho Muheza, Tanga.
Uchawi upo!! Milele na ni elimu kama kawaida mpaka mwamposa ni mchawi wakina Anthony lusekelo wote"Hakuna uchawi mbele ya Yakobo" hesabu23:23 hayo ni mawazo yako tu hayana ukweli wowote uchawi ni elimuj duni haina nguvu kama wengi wanavyodhani na huwezi kurogwa pasipo na ww mwenyewe kuamini au kukubali kama unaweza kurogwa nishapiga sana paka shume na hakuna lolote