Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,684
Una maana gani Saint Ivuga? Halafu unalalaga saa ngapi mana naona tumekesha wote hapa jamvini!!!
Una maana gani Saint Ivuga? Halafu unalalaga saa ngapi mana naona tumekesha wote hapa jamvini!!!
kiswahili kipana sanakwani watu hulalaga sa ngapi?
kwani wewe unalala saa ngapi?una maana gani saint ivuga? Halafu unalalaga saa ngapi mana naona tumekesha wote hapa jamvini!!!
kiswahili kipana sana
kale kawimbo kameanza kuleta madhara katika lugha!!
kiswahili kipana sana
kale kawimbo kameanza kuleta madhara katika lugha!!
Siipi maneno naipa macho......Dr Silaha naona kachoka ...atagonga 2015 kweli huyu!!!???
Unalala unaposikia usingizi ama!kwani wewe unalala saa ngapi?
Una maana gani Saint Ivuga? Halafu unalalaga saa ngapi mana naona tumekesha wote hapa jamvini!!!
...mkuyu kama una alama ya jicho na nanii.
Unauliza korosho Mtwara? hilo ni teja la JF.