Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,894
- 155,914
No:1MAMBO TISA UNAYOWEZA KUFANYA KATIKA CHAKULA CHAKO KAMA MAMBO YAMEENDA NDIVYO SIVYO
1.Chumvi ikizidi kwenye mchuzi menya kiazi mviringo weka kwenye chakula unachopika, acha ichemke chumvi itapungua sana
2. Ukiunguza wali kata kitunguu maji nusu weka kwenye wali Funika kwa dakika tano kinasaidia kutoa harufu ya moshi
3. Tui lisipokolea kwenye maharage weka unga wa sembe tikisa acha itokote hata kama nazi ni nusu itakua kama umeweka nazi tatu
4. Maharage ukitaka yaive upesi weka kijiko cha baking powder
5. Mchuzi wa maini ukitaka uwe rost nzito au mchuzi wowote na hauna nyanya za kutosha weka kijiko kimoja cha chakula unga wa ngano ukoroge na maji kidogo then weka kwa mchuzi wacha uchemke dk 5
6. Muhogo ukiwa chelema weka making powder kijiko kimoja
7. Nyama ikiwa ngumu au ukitaka ilainike upesi kwangulia papaio bichi
8. wali ukishika, ukiungua, kabla ya kufunikia, waweza pia tumia margarine au blue band, ukipakua harufu ya kuungua haitokuwepo tena
9.carrot iwe fresh kama imesinyaa kwa fridge weka kwenye maji ya barridi nusu saa itakua kama imetoka shamba…… Maisha Ni JIKOOO
USIWE MCHOYO WA MAARIFA WATUMIE NA WENZAKO
Ubarikiwe sana uzi murua huu itapwaMAMBO TISA UNAYOWEZA KUFANYA KATIKA CHAKULA CHAKO KAMA MAMBO YAMEENDA NDIVYO SIVYO
1.Chumvi ikizidi kwenye mchuzi menya kiazi mviringo weka kwenye chakula unachopika, acha ichemke chumvi itapungua sana
2. Ukiunguza wali kata kitunguu maji nusu weka kwenye wali Funika kwa dakika tano kinasaidia kutoa harufu ya moshi
3. Tui lisipokolea kwenye maharage weka unga wa sembe tikisa acha itokote hata kama nazi ni nusu itakua kama umeweka nazi tatu
4. Maharage ukitaka yaive upesi weka kijiko cha baking powder
5. Mchuzi wa maini ukitaka uwe rost nzito au mchuzi wowote na hauna nyanya za kutosha weka kijiko kimoja cha chakula unga wa ngano ukoroge na maji kidogo then weka kwa mchuzi wacha uchemke dk 5
6. Muhogo ukiwa chelema weka making powder kijiko kimoja
7. Nyama ikiwa ngumu au ukitaka ilainike upesi kwangulia papaio bichi
8. wali ukishika, ukiungua, kabla ya kufunikia, waweza pia tumia margarine au blue band, ukipakua harufu ya kuungua haitokuwepo tena
9.carrot iwe fresh kama imesinyaa kwa fridge weka kwenye maji ya barridi nusu saa itakua kama imetoka shamba…… Maisha Ni JIKOOO
USIWE MCHOYO WA MAARIFA WATUMIE NA WENZAKO
AminaUbarikiwe sana uzi murua huu itapwa
Usiweke carrot kwenye mboga unayokulaNasumbuliwa sana na kiungulia, hasa nikila maharage na viazi vitamu. Siku hizi napata kiungulia hata ugali wa dona ninaoupenda sana! Nifanye nini wataalam ili nipone?
Ahsante kwa jibu lako tamu. Kama Jf usiku wa mananeUsiweke carrot kwenye mboga unayokula
Viazi vitamu huwa ni mchemsho tufanye je? Maana nami vinanisumbuaUsiweke carrot kwenye mboga unayokula
HamiraSijasikia chakula kikipugua tuweke nini kiongezeke
Weka manjox shenteleleNo:1
Je chumvi ikizidi kwenye rost la viazi???niweke nini ipungue
Kingsmann
Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
Chemsha bila kuvimenya weka magadi kidogoViazi vitamu huwa ni mchemsho tufanye je? Maana nami vinanisumbua
InapendezeshaMAMBO TISA UNAYOWEZA KUFANYA KATIKA CHAKULA CHAKO KAMA MAMBO YAMEENDA NDIVYO SIVYO
1.Chumvi ikizidi kwenye mchuzi menya kiazi mviringo weka kwenye chakula unachopika, acha ichemke chumvi itapungua sana
2. Ukiunguza wali kata kitunguu maji nusu weka kwenye wali Funika kwa dakika tano kinasaidia kutoa harufu ya moshi
3. Tui lisipokolea kwenye maharage weka unga wa sembe tikisa acha itokote hata kama nazi ni nusu itakua kama umeweka nazi tatu
4. Maharage ukitaka yaive upesi weka kijiko cha baking powder
5. Mchuzi wa maini ukitaka uwe rost nzito au mchuzi wowote na hauna nyanya za kutosha weka kijiko kimoja cha chakula unga wa ngano ukoroge na maji kidogo then weka kwa mchuzi wacha uchemke dk 5
6. Muhogo ukiwa chelema weka making powder kijiko kimoja
7. Nyama ikiwa ngumu au ukitaka ilainike upesi kwangulia papaio bichi
8. wali ukishika, ukiungua, kabla ya kufunikia, waweza pia tumia margarine au blue band, ukipakua harufu ya kuungua haitokuwepo tena
9.carrot iwe fresh kama imesinyaa kwa fridge weka kwenye maji ya barridi nusu saa itakua kama imetoka shamba…… Maisha Ni JIKOOO
USIWE MCHOYO WA MAARIFA WATUMIE NA WENZAKO
will be backMAMBO TISA UNAYOWEZA KUFANYA KATIKA CHAKULA CHAKO KAMA MAMBO YAMEENDA NDIVYO SIVYO