Kumbe hajawahi kukuvua?
Haaha...niliwaza kama wewe [emoji4]Kwahiyo nisubiri mpaka nivulishwe eeh! Daa asante sana
Nakuona nakuona...Inategemea bwana, wengine wakishaonja ndiyo wanaingia mazima na kutangaza ndoa.
Hapo labda unamaanisha akishaonja 'ndogo'Inategemea bwana, wengine wakishaonja ndiyo wanaingia mazima na kutangaza ndoa.
Sikufika huko mkuu, mimi si muumini wa hiyo kitu.
Kwa lugha nyingine tunaitaga "gogo style"
Tunasikia hiyo ndo sababu kuu ya vijana kutangaza ndoa fasta!Sikufika huko mkuu, mimi si muumini wa hiyo kitu.
Waache tu wakirudi watatusimulia.
Na navyopenda kukuvua... Iwe joto iwe baridi...
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Hayo ni maneno ya walioshindwa tu au mashahidi wa jehova!
Wanaume wako tofaut ukibahatka kupata hit n run utackia cha mtema kun haya ukipata anayestay hata umpe kila siku aach kukupenda
Sent using Jamii Forums mobile app