yani mpaka umehakikisha kaazi kweli kweli.
:smile-big:
heheheh wee mtu kichwa kigumu kweli kweli
Sasa hii ndio nini?
Na yeye kapost, amekaa akafikiria ujue...kapata idea kaimwaga jamvini ujue...!!! Uko powa kaka mkubwa?
Aisee...
Mie mzima kabisa hofu na mashaka kwako...
yahaya wa kinondoni unaitwa na The secretary
:wave: UKINIKOSA NIPO KANISANI:wave:
Sasa hii ndio nini?