Usifikirie kuoa mrangi hata siku moja!

Status
Not open for further replies.

bila kuwasahau watani wao wa jadi wagogo!!!!!!!
 
Ukisikia "Yalaah"...................................................................!?
 

Tehtehteh..pole..
 
We ms..n.g.. Nn,acheni makabila ya watu,jadilini ya kwenu,pia samahani mi sio mrangi ila nimeishi nao

Dada unakataa nini sasa kwamba wewe sio mrangi, we jikubali kama huna hizo tabia, wasikusumbue hao. Hii mada kila ane kuja ana lake tena kwa ushahidi sasa kuna nini tena.
 
hapo ndugu utakuwa umekosea au niseme ni hasira ya mwanadamu ambayo siku zote haitendi haki ya Mungu. Siku zote usipende ku-generalize jambo kwa kosa la mtu mmoja, kwanza wewe mwenyewe mjue Mungu, omba mke kutoka kwa Mungu atakupa tu hata awe mrangi kama ni wako na umeandikiwa awe wako atakuwa wako, ila angalizo, wewe je ni msafi kiasi hicho? Nakushauri mrudie Mungu, mpokee Yesu kuwa Bwana na mwokozi wako, muamini asilimia 100, kaa magotini kwake muombe mke, kisha utaona majibu yake, na hata ukishaoa endelea kuishi maisha ya kumpendeza Mungu naye ataonekana katika maisha yako
 
Kuna dada, ni jirani yangu sasa anapenda sana kufuatilia maisha yangu, nae pia ni mrangi. Yani akimuona demu kwangu lazima aanze kunisema mara hoo mbona una videmu vingi mara hoo vile.. Yani asingekuwa mke wa mtu ningemtongoza nimlale ili aache unoko..!
 
Kabila ambalo limebaki bila scandal ni Wasukuma tu. Ngoja niende Shinyanga.
Ila skendo yao ni kupenda kula ugali, siku moja asubuhi saa mbili mitaa ya Ngokolo pale anakuja dada mzuri mimi nakunywa chai mgahawani, eti yeye anauliza kama kuna ugali dagaa!!
 
Nawapenda kweli warangi, passion Lady hebu ni PM, achana nao hao wenye chuki binafsi.
 
Warang wako vzr sana kugegedana....ila n kwel mm pia uzoef wang unaonyesha hawatuliag sehem 1
 

Wakuu mbona mnakuwa wakali hadi kupitiliza hayo maneno mliyoyatumia bila kukwepesha ulimi yanakiuka maadili yetu ya ki Tanzania.
 
Dada unakataa nini sasa kwamba wewe sio mrangi, we jikubali kama huna hizo tabia, wasikusumbue hao. Hii mada kila ane kuja ana lake tena kwa ushahidi sasa kuna nini tena.
Wala sina asili hyo ila nimeishi nao,nimezaliwa huko,na wengi ni friends zangu but sijaona hizo tabia!wala hainisumbui but kujumuisha watu wote kisa tabia ya mtu mmoja au wawili sidhani kama ni sawa,lkn mada imeanzishwa kwa sababu maalum so ngoja niwaachie wny nia zao bana!
 
kwa ujumla mabinti wa kirangi n wachepukaji.. af wanaume wa kirangi wana uwezo mkubwa wa kumdanganya mtu na akakubali..
 

we dini gani? Mkabidhi kwa Yesu kristo naye atakuwa mke mwema.
 
hii ina ukweli kiasi fulani,wauza papuchi wengi wa shelui,misigiri,igunga,nzega,Isaka,kagongwa na kahama ni hawa ndugu zetu warangi na wanyiramba.

Kuna mmoja alishatugonganisha ndugu 3 kila mtu kapewa huduma kwa muda wake,
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…