Usifikirie kuoa mrangi hata siku moja!

Status
Not open for further replies.
Nimeishi kondoa kwa miaka 2 nimegonga wasichana si chini ya 30,,unaweza gonga mama,mtoto na dada mtu,,kaka jaribu m nimewatahadhalisha tu

Sasa hapo wewe na wao mnatofauti gani? yani umetembea na wasichana 30 alafu unasema hawajatulia, wewe na wao nani hajatulia hapo?
 
majorbuyoya wamachame angalau kdg wao pesa mbele wako tayar hata kuua hvyo usihofu
 
Sasa hapo wewe na wao mnatofauti gani? yani umetembea na wasichana 30 alafu unasema hawajatulia, wewe na wao nani hajatulia hapo?

hapo hata mm nmeshangaa kidogo. Kumbe nyan haoni kundule
 
Ni kweli... Mie nimegegeda warangi 21 ndani ya week, huko kondoa... Mrangi akikukataa kajinyonge tu!

Ni maji mara moja...

Ukiona umeoa mrangi, wakaanza kuja ndg zake wengi... Wakaanza kuongea kiluga.. Ujue sio ndg zake..

kwahiyo wewe ndo umetulia? yani wanaume wa aina yako wala hamna right ya kuwa judge hao wa dada manake mnafanana nao tabia, sijui na nynyi ni warangi
 


kwani wazigua tukoje?
 
I reserve my comment


||"You were too young to understand"||
 

warangi wachae waoane wenyewe...ukija wa nje utaumizwa tuu
hawawezi kutulia

mie nilikata girfriendwang na dada yake for 2years...

wananwe kuolewa kijitonyama.akawa na hawar kinondoni na ndoanyingine pwani
 
hhahaha kwa hiyo ni kabila gani wadada wametulia no michepuko?naana mlivyowapaka warangi mweh! na wanaume wa kirangi nao wakoje?mwenye kujua pliz!
 
Aisee, naogopa tu generalisation, ila ???!!!!!
 

Duh,kwa maelezo ya namna ulivyomgegeda mke wa Judge,condom ilikumbukwa kweli??..au nawe ulitumia zile za kumeza??
 
mwanamke yoyote usipomfikisha jiandae kupata msaada, suala sio kabila.
Bahati yako mwanamke ingekuwa mwanaume ningekuambia jaribu kuwa na binti wa kirangi uishi nae hata mwezi kwako.
Kuanzia bodaboda,bajaji makonda majirani mango,fundi garage,mfunga startimes atawamaliza.
Ni noma sana hao watu
 
umesomeka mkuu ila pia nafdhani umenielewa..kuwa tabia sio kabila hata kama kabila linaweza kuathiri tabia ya mtu ila cha msingi ni kuwa TABIA NI MTU.

mkuu mm nimetoa tahadhari na maneno yangu siyo sheria,,ila sitaki kuona mwanaume mwenzangu anagongewa mke,,bora mm nimegongewa mpenzi tu,,,cha ajabu kuna mwanajamii forum humu humu tumeshare nae
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…