Warangi siyo watu wa Singida mkuu, wale ni wa Dodoma. ila hata singida kuna kabila linaitwa WANYATURU, hawa watu ni balaa. Wana tabia zinazofanana na Warangi kama alivyoeleza mleta mada na pia wanapenda kuendesha wanaume, ushirikina na ni wajeuri, kiburi, dharau na kujisikia SIJAPATA kuona. Yamenikuta hayo ndiyo maana nasema na baada ya kunikuta nikaanza kufuatilia, nikagundua wengi sana wanalalamika kuhusu hilo kabila na warangi pia

kama ulikuwepo ,mwenyewe nilipata kitoto cha kirangi cheupe kibichi nimekilipia ada ya chuo grade A nikifightia kipangwe dar,,lakini kilichokuja kunifanyia namwachia mungu,,watu wamegonga tena kirahisi sana
Kaka nilikuwa naogopa kufunguka lkn umepatia wewe, huo ushirikina mkuu nilikimbilia kanisani,dharau,kiburi na mimi ukizingatia ngosha navyopenda totoz nyeupe mbona nilikaribia kufa,sasa najipanga natafuta mweusi kupita mimi nishapata allergy ya totoz nyeupe
Duh, pole sana. ilikuwaje ukaoa mmakonde aise..yaani akikwambia anaenda kusalimia kwao basi anaenda kuolewa tena. workmate wangu anawapenda maana hawana uchoyo....akina Somoe.Jamani sisi wengine tumeoa Wamakonde.Kuna wadau wamesema kuoa hilo kabila ni sawa na kuingiza kichwa kwenye mzinga wa nyuki au kumbusu mamba shavuni,je kuna ukweli wowote wadau?au tunarushana roho?
Bahati yako mwanamke ingekuwa mwanaume ningekuambia jaribu kuwa na binti wa kirangi uishi nae hata mwezi kwako.
Kuanzia bodaboda,bajaji makonda majirani mango,fundi garage,mfunga startimes atawamaliza.
Ni noma sana hao watu
Siasa hujui,jiografia hujui! Singida vipi tena!Singida sijui kuna nini aisee..afu huwa wanaendesha sana wanaume...esp wale mnaopemda totoz nyeupe
mna uatani na watani zangu nyie! vipi na Wahaga au Wapare weupekwani nao si haba nao ni kama WarangiPole sana kaka. Mrangi na mnyaturu ni mtu na mdogo wake. Ule weupe wao wanaufanya kitega uchumi, maana wanaume tulio wengi tunapenda totoz nyeupe.
KWeli wewe bongolala.Mrangi msambaa mhaya mnyiramba mzaramo mpare wa same gonja kazi kwako!!!
Kuna watu wanawatafuta hao kwa sana
Nina jirani yangu hapa ni mrangi lakini hilo sijaliona.
kwa wataalam wa`risechi 2naiita sampolingi era