umenifurahisa na underage boyz. mm wote chini ya 30 wote nawaitaga small organisns na kamwe hawezi nilala.mm under 30 pia anilale under 30 God 4bid
siyo mimi bhana mbona mmenikalia kooni tena!
Mmh mapenzi jamani siku hizi bila pesa hata huyo mpenzi wako utamchukia maana atakuwa kama wa kijiji atapaka gupyaka mpaka basi
ila sio tabia nzuri unajua!!!
unapendaje pesa kiasi kwamba unamtenda mtu uliyem'ahidi kuwa unampenda kwa dhati unaona ni tabia nzuri hiyo!!!!!?