Usifanye mchezo na Deep State, wakiamua jambo lao huchomoki

We kwa akili zako za kipimbi unadhani hayo uliyoeleza ndio yanatumiwa na deep state kufanya maamuzi?

Pole Sana na mwakani zinaongezeka kwa sababu hamtaki mikopo.

Ishu ya umeme inashughulikiwa,machinga lazima wafuate utaratibu kama vipi wahamie Nchi ambayo kila mtu niachinga ikibidi hadi ndani ya maofisi wake kupanga samaki.
Huelew chochote..umepanic
 
1.umeme unakata kwa siku zaid ya mara 10
2.tozo ziko direct snaa had mama muuza nyanya anafeel
3.petroli 2500
4.unga 1300
5.machinga tupa kule
6.tozo kwenye umeme

Hivi vitu vyote vinamgusa moja kwa moja mtanzania..haya yote yametokea gafla ndan ya miez mi4

Mpaka aje ashituke watu wanafanya makusud achukiwe ..si leo wala kesho

Sijui kama kashitukia hili lakin..

N.b sitak kusikia et "matatzo haya ni global sabab ya korona n sh**)...si kwel

TZ ni shamba la bibi kwa sasa. Wachume wanavyotaka kwa sasa.
 
Deep state
Hili neno ntakua na mm na aanza nalo kwenye sentensi 😄😄😄😄
 
1.umeme unakata kwa siku zaid ya mara 10
2.tozo ziko direct snaa had mama muuza nyanya anafeel
3.petroli 2500
4.unga 1300
5.machinga tupa kule
6.tozo kwenye umeme

Hivi vitu vyote vinamgusa moja kwa moja mtanzania..haya yote yametokea gafla ndan ya miez mi4

Mpaka aje ashituke watu wanafanya makusud achukiwe ..si leo wala kesho

Sijui kama kashitukia hili lakin..

N.b sitak kusikia et "matatzo haya ni global sabab ya korona n sh**)...si kwel
Utaambiwa wewe Sukuma Gang utazani wao wanaishi Burundi.
 
1.umeme unakata kwa siku zaid ya mara 10
2.tozo ziko direct snaa had mama muuza nyanya anafeel
3.petroli 2500
4.unga 1300
5.machinga tupa kule
6.tozo kwenye umeme

Hivi vitu vyote vinamgusa moja kwa moja mtanzania..haya yote yametokea gafla ndan ya miez mi4

Mpaka aje ashituke watu wanafanya makusud achukiwe ..si leo wala kesho

Sijui kama kashitukia hili lakin..

N.b sitak kusikia et "matatzo haya ni global sabab ya korona n sh**)...si kwel
Hakuna Taifa linaloendeshwa bila kodi
 
Deep state walishindwaje kuzuia kifo cha bichwa nundu jitu lenye roho mbaya
 
Back
Top Bottom