Usifanye mchezo na Deep State, wakiamua jambo lao huchomoki

Usifanye mchezo na Deep State, wakiamua jambo lao huchomoki

1.umeme unakata kwa siku zaid ya mara 10
2.tozo ziko direct snaa had mama muuza nyanya anafeel
3.petroli 2500
4.unga 1300
5.machinga tupa kule
6.tozo kwenye umeme

Hivi vitu vyote vinamgusa moja kwa moja mtanzania..haya yote yametokea gafla ndan ya miez mi4

Mpaka aje ashituke watu wanafanya makusud achukiwe ..si leo wala kesho

Sijui kama kashitukia hili lakin..

N.b sitak kusikia et "matatzo haya ni global sabab ya korona n sh**)...si kwel
Sasa hao deep state walishindwaje kumzuia asikae kwenye hilo kiti kama hawamtaki
 
Sanaaa...yaan watu wanapiga kweri kweri..kuna dogo mmoja kapiga had nikasema aisee naingiaje kwenye hyo gang..nkaambiwa had niwe recomended..bila hivyo hugusi.hahaha
Recommended na nani?
 
Hakuna Taifa linaloendeshwa bila kodi
Unakusanya kodi watu ambao hunawawekea mazingira mazur ya biashara...hutumii rasilimali zilizopo zimetapakaa had kero.madin.ardhi..utalii..bandari..

Utaendelea kukamua wananchi wako kodi had mwisho wa dunia...na hutafanikiwa

Ni aibu...endeleen kuamin hivo hvo na kauli za hakuna taifa bla bla...wananchi hawa watachoka siku1 na hamtaamin
 
1.umeme unakata kwa siku zaid ya mara 10
2.tozo ziko direct snaa had mama muuza nyanya anafeel
3.petroli 2500
4.unga 1300
5.machinga tupa kule
6.tozo kwenye umeme

Hivi vitu vyote vinamgusa moja kwa moja mtanzania..haya yote yametokea gafla ndan ya miez mi4

Mpaka aje ashituke watu wanafanya makusud achukiwe ..si leo wala kesho

Sijui kama kashitukia hili lakin..

N.b sitak kusikia et "matatzo haya ni global sabab ya korona n sh**)...si kwel
Serikali ya Samia ni ya kukusanya pesa za kodi toka kwa maskini na serikali ya JPM ilikuwa ni kuwabana wakwepa kodi hadi dunia ilijua wanakamuliwa na leo hii wakwepa kodi wote hawaongei kwani wamempaka kiongozi waliyekuwa wanamtaka
Samia katuumiza haswa yaani hata kumpa kura yangu nitajifikiria sana ukizingatia upinzani ndiyo watauza nchi kwa wanaowafadhili
 
The State walimtega mama kwa gazeti la uhuru mama akamkalia jogoo ipasavyo!sasa jogoo kazama Hadi tumboni na anamchezesha mziki mnene Sana!!!Mama hajagundua kosa Hadi sasa na wanamtoa relini yeye bila kujua!!!Hadi hotuba wanamchakach Lia hata haelewi!! Magamba matatu ameshasema Raisi ajaye ni muislam mwanamme mwenye uthubutu kama mwendazake!!
 
Na hii ya kwenu bongo mnaiita deep state hahahahaha hakunaga deep state za kilofa mjomba hao wahuni na maselfish flani wenye uwezo mdogo wa kufikiri
Unatuita sisi wahuni na maselfish flani? Huo ujasiri wa kutuita hivyo umeutoa wapi? Huo uthubutu tu. Ngoja sasa tukutafute utueleze vizuri!
 
1.umeme unakata kwa siku zaid ya mara 10
2.tozo ziko direct snaa had mama muuza nyanya anafeel
3.petroli 2500
4.unga 1300
5.machinga tupa kule
6.tozo kwenye umeme

Hivi vitu vyote vinamgusa moja kwa moja mtanzania..haya yote yametokea gafla ndan ya miez mi4

Mpaka aje ashituke watu wanafanya makusud achukiwe ..si leo wala kesho

Sijui kama kashitukia hili lakin..

N.b sitak kusikia et "matatzo haya ni global sabab ya korona n sh**)...si kwel
Yote Mama anajua
 
Makosa aliyafanya magufuli,huyu mama Hana makosa kabisaaa
 
Tangu habibu hanga asimulie maswala ya deep state humu sasa imekuwa nongwa. Kati ya wewe na mama nani anaijua deep state zaidi.?
pls jaribu kujibu hoja, answer his issues using facts and not mere silly questions, samia has no idea of the deep state in ccm works, take that to the bank, need i explain further?????
 
1.umeme unakata kwa siku zaid ya mara 10
2.tozo ziko direct snaa had mama muuza nyanya anafeel
3.petroli 2500
4.unga 1300
5.machinga tupa kule
6.tozo kwenye umeme

Hivi vitu vyote vinamgusa moja kwa moja mtanzania..haya yote yametokea gafla ndan ya miez mi4

Mpaka aje ashituke watu wanafanya makusud achukiwe ..si leo wala kesho

Sijui kama kashitukia hili lakin..

N.b sitak kusikia et "matatzo haya ni global sabab ya korona n sh**)...si kwel
I support you fullly, it seems samia is unaware of whats taking place in the country she claims to be the president, she is a very clueless president, and to point to the truth to that, all you need to see is how she brought this case against chadema chief, freeman mbowe, this case is a set up by the deep state agaist samia herself, and she will regret very much later, even a fool who went went to school can see this is a trap up charges, and the damage this case will do to samias regime, only time will tell, add that to what you have arleady said, and you see the pattern, time will tell
 
We kwa akili zako za kipimbi unadhani hayo uliyoeleza ndio yanatumiwa na deep state kufanya maamuzi?

Pole Sana na mwakani zinaongezeka kwa sababu hamtaki mikopo.

Ishu ya umeme inashughulikiwa,machinga lazima wafuate utaratibu kama vipi wahamie Nchi ambayo kila mtu niachinga ikibidi hadi ndani ya maofisi wake kupanga samaki.
tatizo lako ni ukosefu wa elimu bora
 
Back
Top Bottom