Usifanye mchezo na Deep State, wakiamua jambo lao huchomoki

1.umeme unakata kwa siku zaid ya mara 10
2.tozo ziko direct snaa had mama muuza nyanya anafeel
3.petroli 2500
4.unga 1300
5.machinga tupa kule
6.tozo kwenye umeme

Hivi vitu vyote vinamgusa moja kwa moja mtanzania..haya yote yametokea gafla ndan ya miez mi4

Mpaka aje ashituke watu wanafanya makusud achukiwe ..si leo wala kesho

Sijui kama kashitukia hili lakin..

N.b sitak kusikia et "matatzo haya ni global sabab ya korona n sh**)...si kwel
Nchi hii ni.. hapa huyu mtu ndie think tank ya nchi
 
Mama yenu aliachiwa nchi na JPM ikiwa vizuri tu,wakina flani wamemdanganya leo wako pembeni wanachekelea.
 
1.umeme unakata kwa siku zaid ya mara 10
2.tozo ziko direct snaa had mama muuza nyanya anafeel
3.petroli 2500
4.unga 1300
5.machinga tupa kule
6.tozo kwenye umeme

Hivi vitu vyote vinamgusa moja kwa moja mtanzania..haya yote yametokea gafla ndan ya miez mi4

Mpaka aje ashituke watu wanafanya makusud achukiwe ..si leo wala kesho

Sijui kama kashitukia hili lakin..

N.b sitak kusikia et "matatzo haya ni global sabab ya korona n sh**)...si kwel
Tatizo mnaioverate deep state. Kwa mfano, deep state ilikuwa wapi wakati Hamza anawaua wale mapolisi?. Deep state in akiwa wapi wale wafanya biashara walipopigwa risasi na polisi?. Mnawafanya waonekane invisible wakati Ni binadamu Kama sisi Tena wakawaida. Silaha kubwa ya deep state Ni kwamba wanafanya kazi yao katika usiri mkubwa.
 
I support you fullly, it seems samia is unaware of whats taking place in the country she claims to be the president, she is a very clueless president, and to point to the truth to that, all you need to see is how she brought this case against chadema chief, freeman mbowe, this case is a set up by the deep state agaist samia herself, and she will regret very much later, even a fool who went went to school can see this is a trap up charges, and the damage this case will do to samias regime, only time will tell, add that to what you have arleady said, and you see the pattern, time will tell
And the clock is ticking
 
Tatizo mnaioverate deep state. Kwa mfano, deep state ilikuwa wapi wakati Hamza anawaua wale mapolisi?. Deep state in akiwa wapi wale wafanya biashara walipopigwa risasi na polisi?. Mnawafanya waonekane invisible wakati Ni binadamu Kama sisi Tena wakawaida. Silaha kubwa ya deep state Ni kwamba wanafanya kazi yao katika usiri mkubwa.
Unaijua deep state mkuu?
 
Tangu habibu hanga asimulie maswala ya deep state humu sasa imekuwa nongwa. Kati ya wewe na mama nani anaijua deep state zaidi.?
Mama gani sasa maana kuna kina mama wengi mkuu kuwa specific tafadhali
 
Unakusanya kodi watu ambao hunawawekea mazingira mazur ya biashara...hutumii rasilimali zilizopo zimetapakaa had kero.madin.ardhi..utalii..bandari..

Utaendelea kukamua wananchi wako kodi had mwisho wa dunia...na hutafanikiwa

Ni aibu...endeleen kuamin hivo hvo na kauli za hakuna taifa bla bla...wananchi hawa watachoka siku1 na hamtaamin

Tuna viongozi wengi ambao hawajawai kufanya biashara, kuwa wamachinga, mama ntilie. ABC za uchumi hawazijui, hawana uchungu na nchi, rasilimali zake.

Wakipiga dili wanaona mambo yote ni poa tu.

Wametoka shule, NGO, wakaunganishwa kwenye utawala.
 
Mama yenu aliachiwa nchi na JPM ikiwa vizuri tu,wakina flani wamemdanganya leo wako pembeni wanachekelea.
Samia anawanyima usingizi,Nchi inazidi kuharibika 😆😆 👇

IMG-20220101-WA0020.jpg

Screenshot_20220102-155444.png

Screenshot_20220102-155026.png

Screenshot_20220102-155425.png
 
Yule jamaa #Tumia Akili sijui Yuko wap siku hizi!aje atuambie wanauonaje utawala wa Mama au ndiyo Operation inaendelea?

Mpaka leo najiuliza sijui ilikuaje mpaka Mama SSH kumteua Philip Mpango kuwa makamu😭😭😭

I can smell the return of MAGUFULI.
 
Nchi hii bora iongozwe na mbuzi. Yule mtu aliyewafananisha waafrika na nyani sijui aliona nini na au alikutana na nini. Pengine alikutana na mtu kama nyani anaufanya unyani. Nadhani viongozi wetu wana vinasaba
 
Back
Top Bottom