Kwa wale ambao bado mko chini ya 35 jitahidi sana kuzingatia mazoezi kama umri wako ni zaidi ya 35 mazoezi mepesi yanakua bora zaidi kwan mwili hurekebisha sehem chache sana, pia zingatia masaa 8 ya kulala na kupunguza ama kuacha kabisa pombe
Kwamba mkali haaminiki?😂Ok shukrani kwa Tip, ngoja nifuatilie kwenye Vyanzo vya kuaminika kwa taarifa zaidi
Kwahiyo maulid kitenge na zile mbio zake anajiua tu?!Miili yetu hufika ukomo wa ukuaji unapofikisha miaka 35, kwa lugha rahisi mwili kua active kutengeneza cell mpya zenye ubora pia utimamu wa misuli na akili peak yake ni miaka 35, hivo basi kabla hujafika miaka 35 hakikisha unafanya mazoezi ya kutosha mbelen uko mazoezi hayana impact kubwa sana, hata wachezaji wakifika miaka 30 ni ngumu kukubaliwa kucheza professional football majeraha huchukua mda mrefu kupona na utimamu wa akili hua pungufu
Kama bado upo kwenye ujana, jitahidi sana kufanya mazoezi
kwa wale ambao bado mko chini ya 40, fanya vyote ila mazoezi usisahau! naongea ivi kwa huzuni baada ya kushuhudia watu wana magonjwa ambayo hospitali wanasema hauna dawa, pia issue ya kisukari ni kubwa sana usisubiri mpaka magazeti yaanze kuandikawww.jamiiforums.com
Hapana , ila humu huwa nachukulia mtu kama mchokoza mada hivyo muhimu kujiridhisha kabla ya kuchukua hatuaKwamba mkali haaminiki?😂
Uko sahihi kwenye kiwango cha mazoezi. Hata kukimbia isiwe kupitiliza maana huwa inaleta shida kwenye magoti. 5km to 10km inatosha sana.mazoezi mepesi, mfano kukimbia mazoezi nayosema yaepukwe ni kama kunyanyua vyuma
hapana ukiwa umri umeenda hauwezi kuendana na kasi ya dunia, ndo maaana wanaitwa vijana zaidi kwenye kazi zinazohusiana na utandawaziLabda mwili kutokuwa na utimamu hapo sawa,ila kuhusu akili unafeli, umri mkubwa unakuwa na experience nyingi za maisha na ndio ufahamu wa mambo mengi upo hapo
Mkuu kukimbia km nyingi sana inaweza leta shida kwenye magoti.hayo ndo mazoezi mazuri kwa umri huo, kuhusu km hakuna kikikomo ni mazoezi mazuri sana