Usifanye maisha ya Mapenzi kama Marathoni!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usifanye maisha ya Mapenzi kama Marathoni!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by SnowBall, Jul 14, 2012.

 1. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #1
  Jul 14, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Hebu Jamani kwenye Mapenzi hatushindanii medali na wala hatushindani na mtu!..Mara nyingi ni wewe na moyo wako tu..na mwisho wa siku ukishinda ni wewe na ukishindwa ni wewe pia..

  Sasa inakuwaje tunaishi kwenye mahusiano yetu aidha NDOA au Mapenzi ya kawaida kwa kukimbizana na Majirani zetu. Yaan ukimuona jirani kamfanyia hivi mwenzie na wewe mbio kufanya as if uko kwenye mashindano..Ukiona mwenzio kafanyiwa vile roho inakuuma as if usipofanyiwa utakosa Medali??

  Jichagulie SPEED ambayo unadhani itakufaa kwenye Mbio za haya Maisha na hakikisha Unapoanza Mbio zako uko kwenye Right lane and with right studs..otherwise ukiigiiza kufuata mbio za Akina Marion Jones na Usain Bolt utapasuka kifua..kwa sbb wao wamezaliwa na speed na kasi hzo..kinyume chake na wao wakifuata speed yako ya Kobe wataumia magoti!!!!..
   

  Attached Files:

 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Jul 14, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  kumbe kuna watu bado wanaishikwa kuwaangalia wengine????
   
 3. manuu

  manuu JF-Expert Member

  #3
  Jul 14, 2012
  Joined: Apr 23, 2009
  Messages: 4,063
  Likes Received: 9,673
  Trophy Points: 280
  Ila maisha hayataki lelemama lazima ukaze na uwe na malengo huku ukitamani kufanikiwa kama waliokuzidi.
  Wivu wa maendeleo unaruhusiwa kabisa.
  Kwani wao waweze wana nini na wewe ushindwe huna nini?
   
 4. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #4
  Jul 14, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Wapo sana..na siku zote kwao hakuna wanaloweza kulifanya zaidi ya kuiga wenzao wamefanyiwa nini!..
   
 5. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #5
  Jul 14, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Do you think kwenye mapenzi it applies the same way?
  Kwamba kwa sababu flani kafanyiwa hivi na mtu wake au kwa sbb flan anafanya hiv kwa mtu wake na mimi nifanye?..
   
 6. mito

  mito JF-Expert Member

  #6
  Jul 14, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 7,613
  Likes Received: 1,992
  Trophy Points: 280
  Mkuu unaweza kuweka kamfano kadogo hapo kwa red, maana sijapata picha kamili
   
 7. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #7
  Jul 14, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,693
  Likes Received: 12,740
  Trophy Points: 280
  Thread hii imenichekesha sana
   
 8. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #8
  Jul 14, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  mambo manuu

  usiadimike basi, nataka twende China basi

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #9
  Jul 15, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Usicheke mkuu haya mambo yapo..tuwasaidie hawa viumbe!
   
 10. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #10
  Jul 15, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  China tena???...
   
Loading...