Usifanye kosa hili KAMWE!

Usifanye kosa hili KAMWE!

MTAZAMO

Platinum Member
Joined
Feb 8, 2011
Posts
19,990
Reaction score
34,837
Wakuu,

Heri ya mwaka mpya. Kwa ufupi nime experience jambo hili kwa familia chache lakini nimetafiti hata kwenye imani hizi kubwa na za asili. Usifanye kosa la kuji disconnect na ardhi ya kwenu kwa baba na babu zako.

Wapo watu bila sababu za msingi wameuza hadi ardhi za urithi na kutoweka kabisa kwao ( hadi makaburi wametelekeza). Hii with time haitowaacha salama. Ziko familia sasa wanahangaika kununua tena ardhi jirani na kijijini kwao ili kurudisha hiyo connection na vizazi vinavyokuja baada ya matukio mengi kuwatokea.

Waisraeli walikaa Misri miaka 400 lakini walijua wapo utumwani sio kwao. Tunavyoona hata mataifa yanapigania ardhi na asili yao ndio hivyo hivyo hadi level ya ukoo na familia.

Uwe USA, UK, SA, Mbweni, Mbagala n.k usisahau kwenu hata kwa kidogo maana msingi wa pumzi yako kutoka kwa Mungu imeanzia huko na baraka zako mbegu ilipandwa huko kwenye viuno vya mababu zako.

Ujumbe mkuu, usiuze ardhi za ukoo kwa njaa au shida zako ambazo hata baba yako alipewa tu aitunze na kuilinda, tafuta vyako na tunza ulichopewa ili kulinda vizazi vingine maana lengo la urithi ni hilo kulinda asili na vizazi sio kuuza na kutoweka! HUTOBOI!
 
Hapo ndio inakuja essence ya "kuzika kwenu". Ilikuwa ni kutengeneza sababu ya kurudi kule mara kwa mara.

Kabila letu walienda mbali zaidi, hushawishi uone huko huko maeneo ya kwetu kama kuna uwezekano. Wanajua hutopotea.

Chukua case study ya wachaga, anajenga nyumba kali kijijini
 
Wakuu,

Heri ya mwaka mpya. Kwa ufupi nime experience jambo hili kwa familia chache lakini nimetafiti hata kwenye imani hizi kubwa na za asili. Usifanye kosa la kuji disconnect na ardhi ya kwenu kwa baba na babu zako.

Wapo watu bila sababu za msingi wameuza hadi ardhi za urithi na kutoweka kabisa kwao ( hadi makaburi wametelekeza). Hii with time haitowaacha salama. Ziko familia sasa wanahangaika kununua tena ardhi jirani na kijijini kwao ili kurudisha hiyo connection na vizazi vinavyokuja baada ya matukio mengi kuwatokea.

Waisraeli walikaa Misri miaka 400 lakini walijua wapo utumwani sio kwao. Tunavyoona hata mataifa yanapigania ardhi na asili yao ndio hivyo hivyo hadi level ya ukoo na familia.

Uwe USA, UK, SA, Mbweni, Mbagala n.k usisahau kwenu hata kwa kidogo maana msingi wa pumzi yako kutoka kwa Mungu imeanzia huko na baraka zako mbegu ilipandwa huko kwenye viuno vya mababu zako.

Ujumbe mkuu, usiuze ardhi za ukoo ambazo hata baba yako alipewa kwa njaa zako, tafuta vyako na tunza ulichopewa ili kulinda vizazi vingine maana lengo la urithi ni hilo kulinda asili na vizazi sio kuuza na kutoweka! HUTOBOI!
Mkuu hayo ni mambo ya 19th century. Tuko 21st century.
 
Mambo ya mikosi siyaamini lakini bado nakubaliana na wewe. Ardhi ya kurithi ina maana kubwa sana kihistoria. Inanikumbusha nilipotokea. Nikienda pale nikiona makaburi ya wazee na mazingira yale, kuna kumbukumbu nyingi zinanijia.
 
Wakuu,

Heri ya mwaka mpya. Kwa ufupi nime experience jambo hili kwa familia chache lakini nimetafiti hata kwenye imani hizi kubwa na za asili. Usifanye kosa la kuji disconnect na ardhi ya kwenu kwa baba na babu zako.

Wapo watu bila sababu za msingi wameuza hadi ardhi za urithi na kutoweka kabisa kwao ( hadi makaburi wametelekeza). Hii with time haitowaacha salama. Ziko familia sasa wanahangaika kununua tena ardhi jirani na kijijini kwao ili kurudisha hiyo connection na vizazi vinavyokuja baada ya matukio mengi kuwatokea.

Waisraeli walikaa Misri miaka 400 lakini walijua wapo utumwani sio kwao. Tunavyoona hata mataifa yanapigania ardhi na asili yao ndio hivyo hivyo hadi level ya ukoo na familia.

Uwe USA, UK, SA, Mbweni, Mbagala n.k usisahau kwenu hata kwa kidogo maana msingi wa pumzi yako kutoka kwa Mungu imeanzia huko na baraka zako mbegu ilipandwa huko kwenye viuno vya mababu zako.

Ujumbe mkuu, usiuze ardhi za ukoo ambazo hata baba yako alipewa kwa njaa zako, tafuta vyako na tunza ulichopewa ili kulinda vizazi vingine maana lengo la urithi ni hilo kulinda asili na vizazi sio kuuza na kutoweka! HUTOBOI!
Watoto wetu tuliowazaa mjini kwao ni wapi?
 
Dogo napeleka sana kule kwa babu zake nyibhuko-mwankenja akajue asili ya kwao😀😀
 
Back
Top Bottom