Tuwahudumie mmekuwa wagojwa? Mnataka kuhuduniwa, Mdadai usawa wa Nini?Chaajabu wanapenda wanawake wazuri na smart lakini kuhudumia hawawezi kabisa
Bila kutoa maneno ya kejeliUlitaka nimalizie vip?
Tunaweza Sana tu sema mnapodai usawa tunaona hakuna haja ya kuwatunza. Si tupo sawa? Kila mtu ajitunzeBas acheni kupenda pis kali kama hamuwezi hudumia
ndio nnUmekeleka?
Kwahiyo ameacha kukuhudumia Sasahivi pole Sana nipe namba PM.Ni wakati wa kubadilika sasa kutoka kwa hasi hadi kuwa chanya.
Jitahidi uwe mwema kwa wengine. Jipende kwa ukubwa wowote.
Ikiwa una uwezo wa kupenda, jipende mwenyewe kwanza.
Usimuendekeze mwanaume mwanaume hakupendi ukiwa mchafu anakupenda ukiwa uko smart
Chaajabu wanapenda wanawake wazuri na smart lakini kuhudumia hawawezi kabisa
Wanaume wasikuizi ni waovyo sana
Umeongea vzr sana naomba nikupe zawadiKwenye jamii yetu ya Sasa kuna pahala wanaume tumejikwaa......
Uanamume unapitia nyakati ngumu kwa kuwa sisi wanaume wenyewe tupo mbali na uanamume wenyewe......Sasa hivi wanawake hawajivunii kuwa na waume kwa kuwa tofauti pekee wanayoiona baina Yao ni maumbile tu ya sehemu nyeti..........
Tunaupeleka wapi uanamume hali ya kuwa vijana wa kiume wanawaza kutunzwa na wanawake badala ya wao kuwatunza wanawake.......??
Tunaupeleka wapi uanamume hali ya kuwa huko majumbani wanaume tunashindwa kuzisimamia na kuziongoza familia zetu.....??
Ndio maana wanawake wanadai usawa kwa hawaioni nafasi ya mwanaume kwenye maisha yake zaidi ya haja za kimwili ambazo Siku wanajifanyia wenyewe.........??
Wanaume wenzangu kuna sehemu tumeteleza turudi nyuma na kutafakari