Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
Ila hujatuambia ukiwa kwenye kitanda cha bei gani.Katika kitu ambacho kinatakiwa kiwe cha thamani kubwa ni kitanda,Umezaliwa kitandani,unafanya mapenzi kitandani,unapata watoto kitandani,ukiumwa unakimbilia kitandani,ukichoka unakimbilia kitandani,pia inawezekana ukafia kitandani,kitanda ni kitu cha kuheshimu sana!utalalia vp kitanda cha laki mbili wakati unatumia smart phone ya milioni?utalalia vipi kitanda cha laki mbili wakati unaendesha gari la milioni 20,thamini kitanda kinakupa mambo mengi!ktk vitu vya nyumbani vinavyotakiwa viwe vya thamani kubwa ni kitanda!nimepost uzi huu nikiwa kitandani[emoji3]
TANFOAM ama?Na godoro lake pia usisahau aisee kitanda kinaona mengi jamani, asante mkuu kwa kukumbuka kitanda
Lolote tu mradi linahimili uzito na pigo takatifuTANFOAM ama?
Nalala saa sita usiku naamka saa kumi alfajiri. Bado muda mwingi natumia kitandani?Ni kweli mdau ukizingatia muda mwingi maishani tunautumia tukiwa kitandani kuliko sehemu nyingine yoyote.
Kitanda kikubwa, godoro jembambaa (ulimi)...hiyo ukilala usiku unaamka kupumzika af unalala tenaNa godoro lake pia usisahau aisee kitanda kinaona mengi jamani, asante mkuu kwa kukumbuka kitanda
Hivi vitu vinategemeana sana kitanda tu bila godoro au hata kingine chochote laini (maana wengine hawatumii godoro), Bado huwezi kukifurahiaKitanda kikubwa, godoro jembambaa (ulimi)...hiyo ukilala usiku unaamka kupumzika af unalala tena
Ha ha ha duh!Kitanda kikubwa, godoro jembambaa (ulimi)...hiyo ukilala usiku unaamka kupumzika af unalala tena
Hii inafaa kutungia ShairiKatika kitu ambacho kinatakiwa kiwe cha thamani kubwa ni kitanda,Umezaliwa kitandani,unafanya mapenzi kitandani,unapata watoto kitandani,ukiumwa unakimbilia kitandani,ukichoka unakimbilia kitandani,pia inawezekana ukafia kitandani,kitanda ni kitu cha kuheshimu sana!utalalia vp kitanda cha laki mbili wakati unatumia smart phone ya milioni?utalalia vipi kitanda cha laki mbili wakati unaendesha gari la milioni 20,thamini kitanda kinakupa mambo mengi!ktk vitu vya nyumbani vinavyotakiwa viwe vya thamani kubwa ni kitanda!nimepost uzi huu nikiwa kitandani[emoji3]