Usidate na Hawa

Mmewasema vya kutosha, na sasa tena hamtaki tu-date nao. Sasa nani atawala?

Waacheni single mothers wooote waje kwangu. Nawapenda na kuwahusudu. šŸ’•

Blenda Got A Baby.

-Kaveli-
NAKAZIA! šŸ˜‚šŸ‘šŸ¾šŸ™ŒšŸ¾
 
Kuna single mother mmoja anataka nimuoe na mimi nimemkubalia baada ya kuifinyia kwa ndani ila akili zimenirudia sana nipeni mbinu za kupindua meza maana nilishaahidi hadi siku ya kutoa mahari kumbe zilikuwa ni genye tu,sasa hivi najutia
M-ghost tu, hama unapoishi haraka... madalali wako active kama umeme

Badili namba ya simu, wapange watu wako anaofahamiana nao. Utakuwa umeshashinda šŸ‘šŸ¾
 
Usidate na mwanamke muongo muongo muongo ye kila kitu ni uongo alafu anakua na sura ya upole ujue ni shetan
Ilinikutaga miaka kenda! Anaapia viapo vyote kumbe ni chai, nilimvulia kofia alikuwaga ananidanganya mwezi mtukufu na anaapa na viapo baadae nikagunduaga alikuwa muongo. Dahh! Nilichoka šŸ™ŒšŸ¾
 
Ilinikutaga miaka kenda! Anaapia viapo vyote kumbe ni chai, nilimvulia kofia alikuwaga ananidanganya mwezi mtukufu na anaapa na viapo baadae nikagunduaga alikuwa muongo. Dahh! Nilichoka šŸ™ŒšŸ¾
Ulichukua maamuzi gan mkuu
 
Ulichukua maamuzi gan mkuu
Nikajifanya gentleman kumsamehe, hapo alishaanza mapepe na nikamshtukia na nikamsamehe.

Alikuja kunipigia tukio akawa analiwa na Houseboy! Ahh! Ilinichanganya sana!

Tangu hapo siaminigi wanawake
 
Nasoma huu uzi na jamaa yangu ,karopoka usidate na dada wa kichaga. Sijataka kumuuliza kwann
 
Nikajifanya gentleman kumsamehe, hapo alishaanza mapepe na nikamshtukia na nikamsamehe.

Alikuja kunipigia tukio akawa analiwa na Houseboy! Ahh! Ilinichanganya sana!

Tangu hapo siaminigi wanawake
Ulimpiga chini au bado ukonae?
 
We sema tu USIWE KWENYE MAHUSIANO bas hamna kingne boss maana ukiwakwepa hao wote ni tayar hutawah kudate
 
Badili kichwa cha habari mkuu kisome "Usipende ku date na wafuatao"
Umenitiaha ulipomtaja HAWA nikashituka kwanini hutaki ni date na Hawa wangu? Kafanyaje tena?

Hiyo namba 2 haimuhusu Carasco Putin mzee wa mashangazi🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…