Usidate na Hawa

Aisee sikuwahi fikiria hii
 
Unaweza ona kaburi la mwanaume, kumbe alisingiziwa Mtoto.
sasa hapo tutakuwa tumewaonea kwa kweli. kaburi ndo leseni yao kwa sasa.

ila ni jokes mkuu maana hawa wanawake akili zao wanazijua wenyewe wataanza kuua wazazi wenzao ili waonyeshe makaburi waolewe. ikiwemo mimi.
 
Mpaka unaandika hivi..
Ushadata wewe 🤓🤓🤓🤓🙌🙌🙌🙌🤝
 
Usidate na Single mother
Inaonekana mmekutana na single mother vichaa waliovurugwa na waliopita but kuna wamama waastarabu sn tena wanajiheshimu ila ukimzingua atakachokufanyia unakuja jumlisha wote wabaya
 
sasa hapo tutakuwa tumewaonea kwa kweli. kaburi ndo leseni yao kwa sasa.

ila ni jokes mkuu maana hawa wanawake akili zao wanazijua wenyewe wataanza kuua wazazi wenzao ili waonyeshe makaburi waolewe. ikiwemo mimi.
Na sisi mtuonyeshe makaburi ndio tukubali
Kunya anye Kuku ,akinya Bata kaharisha.
 
wanaume huwa hatuzingui kwaiyoo olewa tuu na singo dady. na umpende mtoto, Utanishukuru baadae.
Kwahiyo nyie kuwa single father ni sawa
Ila wanawake kuwa single Maza ni dhambi!

Halafu mwanaume anaweza asiwe na matatizo
Lakini mama wa huyo atavuruga mkeo hadi utashangaa[emoji119]
......

Kuna mfano scenario ilitokea Arusha.
Mtoto wa Std 7 alianza tabia mbovu,mama yake akamchapa.
Mtoto akatoroka nyumbani...
Mama kuanza kulia kwenye medias mtoto arudi,anamuomba arudi na amemsamehe.
Huyo mama alikuwa mama mzazi wabinti.

Nawaza ingekuwa ndo hiyo scenario ingempata mama Mlezi,
Najaribu kuwaza maneno ambayo yangetokea hapo.

Kwahiyo kulea pia Kuna changamoto..
Kama unamleta mtoto nimlee basi uwe tayari kunipa mamalaka yote kama alivyonayo mama mzazi,,,
Siyo kwamba nimuonee ama nimuogope eti kwa sababu si wangu wa kumzaa.

Akikosea basi aadhibiwe kama ambavyo ningewaadhibu wanangu wa kuwazaa.

Sasa wababa wengi huwa wanafeli hapo,,
Ile adhabu kwa mtoto anaweza chukulia in a negative way kama anamnyanyasa mtoto..kumbe sivyo.
 
Inaonekana mmekutana na single mother vichaa waliovurugwa na waliopita but kuna wamama waastarabu sn tena wanajiheshimu ila ukimzingua atakachokufanyia unakuja jumlisha wote wabaya
Kuna single mother mmoja yaani.... Mpaka Mke wangu kamjua... Mpoleeee mstaarabuuu ana katoto kake ka kike... Yaaani nyieeeee.... Alipojua Nina ndoa alikasirikaaaa .... Wapo single mothers wanajiheshimu mnooo.... Kama huyu wangu..natamani kumfanya Mke kabisa ila ndio vile mi mkristo.. ndoa moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…