Amos David Mathias
JF-Expert Member
- Sep 3, 2022
- 1,575
- 3,109
1 Usidate na mfanyakazi mwenzako
2. Usidate na Mpangaji mwenzako
Mi sideti na HAWA na deti na HALIMA....1 Usidate na mfanyakazi mwenzako
2 Usidate na Mwanamke aliyekuzidi umri
3 Usidate na Mwanamke aliyekuzidi nguvu na hela
4 Usidate na mteja wako
5Usidate na mwanafunzi
6 Usidate na single mothers
7 Usidate na Mwanamke maarufu
8 Usidate na Mwanamke aliyelala na Wana wengi
9 Usidate na Ex wa rafiki Yako
10 Usidate na wanawake wanaojipost hivyo
11 Usidate na jini mahaba
Mimi mashangazi na masingle maza watanitoa roho,mana huwa wamebarikiwa kwa mkia1 Usidate na mfanyakazi mwenzako
2 Usidate na Mwanamke aliyekuzidi umri
3 Usidate na Mwanamke aliyekuzidi nguvu na hela
4 Usidate na mteja wako
5Usidate na mwanafunzi
6 Usidate na single mothers
7 Usidate na Mwanamke maarufu
8 Usidate na Mwanamke aliyelala na Wana wengi
9 Usidate na Ex wa rafiki Yako
10 Usidate na wanawake wanaojipost hivyo
11 Usidate na jini mahaba
Mnapenda kukufuru, mwanamke mwehu!!!!Usidate na mwanamke mwehu
acha uchokozi2 Usidate na Mwanamke aliyekuzidi umri
Acha tukufuru...hatujui mnataka nn! Nahisi siku tukijua na ndio vifo tutavipata hapo hapoMnapenda kukufuru, mwanamke mwehu!!!!
Sasa mbona kama wameisha wote1 Usidate na mfanyakazi mwenzako