Usidanganywe kitoto, private kunalipa kuliko Serikalini

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,627
Twende mbele , turudi nyuma! Huwezi kuwa serikalini unasubiri mafao ya 200+Mil ukiwa kwenye umri wa miaka 55 hadi 60, na wakati huo wote wa kuitumikia serikali, unalipwa laki 9 hadi 1mil per month.

Private mtu ana mkataba wa miaka 3, Kwa mwezi anakinja 5mil, safari kibao, posho kibao, hakuna kukopwa hata kidogo.

Sasa bora wapi?

We need money now, we need to do things now, not at very late age.

Kwanza at late age, utakuwa unaona, utakuwa unatembea, utakuwa na nguvu za kuamka mapema na kufanya kazi?

Do it now.

Wazo tu hili.
 
Employe ur-self
10 ten yrs of civilian servant
No expensive car
No expensive house

Mnanyonywa Sana.
 
Twende mbele , turudi nyuma! Huwezi kuwa serikalini unasubiri mafao ya 200+Mil ukiwa kwenye umri wa miaka 55 hadi 60, na wakati huo wote wa kuitumikia serikali, unalipwa laki 9 hadi 1mil per month.

Private mtu ana mkataba wa miaka 3, Kwa mwezi anakinja 5mil, safari kibao, posho kibao, hakuna kukopwa hata kidogo.

Sasa bora wapi?

We need money now, we need to do things now, not at very late age.

Kwanza at late age, utakuwa unaona, utakuwa unatembea, utakuwa na nguvu za kuamka mapema na kufanya kazi?

Do it now.

Wazo tu hili.
Naomba ukawaulize wanaofanya kazi bank za private kama Akiba bank, Equity bank, DCB, n.k halafu uniambie kama wanapata hayo malupulupu na mishahara minono. Then nitakubaliana na wewe kwamba Private kunalipa kuliko serikalini.
 
Twende mbele , turudi nyuma! Huwezi kuwa serikalini unasubiri mafao ya 200+Mil ukiwa kwenye umri wa miaka 55 hadi 60, na wakati huo wote wa kuitumikia serikali, unalipwa laki 9 hadi 1mil per month.

Private mtu ana mkataba wa miaka 3, Kwa mwezi anakinja 5mil, safari kibao, posho kibao, hakuna kukopwa hata kidogo.

Sasa bora wapi?

We need money now, we need to do things now, not at very late age.

Kwanza at late age, utakuwa unaona, utakuwa unatembea, utakuwa na nguvu za kuamka mapema na kufanya kazi?

Do it now.

Wazo tu hili.
BIG BIG FACT
 
Kuna ofisi za Jamhuri ya Muungano zina mishahara na marupurupu ya ajabu unaweza baki mdomo wazi. Tatizo ni kwamba hizo nafasi siyo kwa ajili ya kila mtu, bali kwa wateule wachache wenye wadhamini wazito. Tena hapa ni baada ya Raisi Magufuli kuchomoa betri tu mwaka 2016, lakini kabla ya hapo kulikuwa na pesa ndefu mno kwenye baadhi ya ofisi za serikalini. Mengine hatuwezi kuyasema tu......

Japo sasa, kama ukipata ofisi ya Private nzuri mishahara huwa ni minono mno kuweza kukupa mtaji mkubwa kwa haraka ili uweze kufanya kazi zako nyingine za uwekezaji na ujasiriamali. Shida ni kwamba ofisi binafsi ambazo zinalipa hiyo mishahara mikubwa zinahitaji watu wenye uwezo mkubwa mno kwenye kazi. Hawaajiri kila mtu tu.......
 
Kila mtu na riziki yake
Kuna watu nikiwachek nawaza kama sio kazi za serikalin sijui ingekuwaje mambo ya kufuatilia tender quotation malipo kucheleweshwa baada ya kazi wangewezana nayo kweli
 
If you truly believe in yourself you should go for self employment
Uwe serikalin au private wote ni aina flan ya utumwa
Huwa siwashauri vijana wengi wafanye hivi bila kuwa na mtaji wa kutosha, uzoefu wa kazi na kujua wanaenda kujiajiri kwenye soko lipi. Maana ukweli mchungu ni kwamba siyo kila mtu anaweza kujiajiri. Lakini pia, mtu anaweza akaanza taratibu kwa kuwa ameajiriwa huku akiwa anaanza kufanya shughuli zake binafsi kidogo-kidogo. Hili la kuwadanganya watoto wetu kwamba waachane na ajira ili wajiajiri lina hatari kubwa sana....
 
Sijui kwanini waliojiajiri au private hawajiamini na huwa Wana chuki na walioajiriwa Serikalini wakati wenyewe Wana mishahara mikubwa zaidi
 
Back
Top Bottom