Usidanganywe, jimbo la Chalinze ni 50 kwa 50

Usidanganywe, jimbo la Chalinze ni 50 kwa 50

"Kazi yenu wanaifakara ni moja tu, nichagulieni kijana wangu hapa na mengine niachieni mimi" Lowassa-Ifakara
 
Habari nzuri cha msingi ukawa ni kukomaa mpaka kileweke!
 
Attachments

  • 10413289_443379535821384_8736472890136950428_n.jpeg
    10413289_443379535821384_8736472890136950428_n.jpeg
    7.8 KB · Views: 259
  • attachment-11.jpeg
    attachment-11.jpeg
    6.6 KB · Views: 257
Majimbo yafuatayo yatatia aibu sana kama yataenda upinzani/ccm
1. Monduli
2.Chalinze
3.Mtama
4. Bumbuli
5.Chato

Ongezea na mengine.
 
Hivi jamani kwenu hakuna kuchokwa?? Wamechokwaaaaaa. Miaka 54 halafu maji kilomita kadhaa nyiye mnabaki kupewa ahadi?? Mfalme mwenyewe alisahau kwao mpaka nafasi ikapita. Mtoto kaja na mbwembwe zake, atii trekta kila kijiji. Umewapa maji ya kumwagilia?? Tatizo ninaloona kwa ccm, hawajui vipaumbele kabisaaaa
 
Napingana na wewe , vipaumbele wanavijua bali wanatuona mazuzu .
 
Back
Top Bottom