Usidanganywe ewe Muislamu

Status
Not open for further replies.
Ni mjinga na mpumbavu anaezani mpak Leo vita ya Mashariki ya Kati ni ya kidini pole yenu watumwa wa dini na hongera sana mtoa Mada kwa Kuja na fact sio mihemko na hisia
 
Kwa sababu original arabic hatuijui mimi na wewe. Tungejua tungeanza kudadavua neno zulafa. Vinginevyo tuende kwa mujibu wa lugha tuijuayo. NB. Suala la madhehebu katika dini tuyaache. Huenda hayatatusaidia. Ikitokea wewe ni Mwislamu nenda na maelekezo ya dini/madhehebu yako. Vyovyote iwavyo, tunapaswa kufuata mafunzo ya quran na mwenendo wa Mtume. Ni hapo tu tutaslimika, vinginevyo nikuangamia.
 
Maelekezo ya quran sasa yanasema tuswali mara tatu.
Wewe unafata maelekezo ya dhehebu lako
 
Umeona ee. Jamaa anataka kutulisha matango pori wakati ukweli tunaujua. Vita ya Palestina na Israelni vita ambayo iliishatabiliwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dini ya Kristo ni dini Paulo sio ya Yesu.. Hivyo ndivyo nilivyokusudia..

Dini aliyokuwa akihubiri Yesu ni dini ya Allah, ni sawa na dini aliyokuwa akihubiri Mussa, Daudi na Mitume wengine wa Mungu..

Itakuwaje Allah asiipende dini aliyokuwa akihubiri Yesu, wakati yeye Allah ndio aliemurisha afanye hivyo..

Amka kaka, wakati ndio huu
 
Ipo siku pande mbili hizo ambazo kwa picha ya nje zinapigana lakini kwa picha ya ndani zipo pamoja, zitakaa katika meza moja na kutengeneza SATANIC EMPIRE

Haya ni maneno yako mwenyew then unaniuliza tena Mimi!!! Ajabu kweli hii!!! Soma conclusion ya izi wako afu uje tena

Ulivyo mfinyu wa fikra unataka reference kw jambo dogo hivi. Fikiri nje ya bokisi. Si lazima kila jambo liwe na reference ( The home of great thinkers). Take me as a reference!!!

Kuna mambo hayana reference Ila yapo ivo ila ni lazima uwe thinker, mf

Rais wa Tz lazima awe either Christian or Muslim

Akiwa muislam ni lazima awe Yule asiyejua chochote kuhusu dini yake. Kifupi yule asiye na msimamo

Akiwa mkristo ni lazima awe mkatoriki na si nje ya hapo. Nafikir unaikumbuka ile kashfa ya mzee wangu Lowassa kule Arusha kuhusu walutheri

Akitoka Rais muislam then mkristo kw kupokezana na haitabadilika kamwe.
N.B. Haya mambo wala hayahitaj reference.

HOME WORK
Mataifa yote yanayopambana kuusimika ufalme wa shetani yana catalyst ya kuchochea mapambano hayo. Na catalyst kubwa ni media ambayo ndio huufanya Ulimwengu Wote uitike kwa sauti moja. Media ndo silaha kubwa kw ss pengine kuliko hata atomic bomb. Media hizo hutumika kueneza propaganda ikiwemo kuchochea huyu na yule, kuchafua huyu na kumsafisha yule, kufanya hiki kiwe kibaya na kile kizur n.k n.k.

Mataifa yote makubwa yenye ushawishi mkubwa dunian yana media ambazo mbali na yote ni propaganda ya kuuhadaa Ulimwengu na lengo lao ni lile la kishetani.....dunia yenye starehe zisizo na mipaka (Kamari, uzinzi, ulawiti, unyanyasaji kingono, ushoga, dhulma, dunia yenye only one day for worship per year, n.k n.k )

Najua kuwa unazijua media za haya mataifa Mfano BBC, DW, VOA CNN n.k

Jiulize sasa kwanin presenters wa hizi media ni waislam ?

Mfano BBC (presenters)
mariam Omar
Zuhura yunus
Salim kikeke

Think beyond before you come back again with more explanations











Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mbona mnaswali swala tano ilhali quran imeandika mswali tatu?

Qurani sio gazeti la sani lile kwamba unaweza okota kipande mtaani ukasoma ukaelewa alafu ukacheka la hasha, Quran ni maneno ya Allah yanayohitajia ukae chini ufundishwe na walimu na upewe tafsri yake..na maneno ya Allah ameyasema hapa kwenye haya hii ya Qurani

3:7.Yeye ndiye aliye kuteremshia Kitabu hichi. Ndani yake zimo Aya muhkam, zenye maana wazi. Hizo ndizo msingi wa Kitabu hichi. Na ziko nyengine za mifano. Ama wale ambao nyoyoni mwao umo upotovu wanafuata zile za mifano kwa kutafuta fitna, na kutafuta maana yake; na wala hapana ajuaye maana yake ila Mwenyezi Mungu. Na wale wenye msingi madhubuti katika ilimu husema: Sisi tumeziamini, zote zimetoka kwa Mola wetu Mlezi. Lakini hawakumbuki hayo isipo kuwa wenye akili.

Kwasababu wapinzani alijua mpo na lengo lenu kubwa ni kupotosha watu.

Aya nyingine hii inayotaja swala tano..

78. Shika Sala jua linapo pinduka mpaka giza la usiku, na Qur'ani ya al fajiri. Hakika Qur'ani ya alfajiri inashuhudiwa daima.
Ufafanuzi

Shika Sala zilizo faridhiwa, tangu kupinduka jua kati ya mbingu kuelekea upande wa machwea jua, mpaka kiza cha usiku. Na hizi ndizo Sala za Adhuhuri, Alasiri, Magharibi na Isha. Na pia shika Sala ya Alfajiri ambayo wanaishuhudia Malaika.

Kwahiyo ni wewe kama lengo lako ni kubisha basi hujaanza wewe wapo waliodai hayo maneno ni ya kutunga tu Mtyme alikuwa anatunga tu...

2:23. Na ikiwa mna shaka kwa hayo tuliyo mteremshia mja wetu basi leteni sura moja ya mfano wake, na muwaite mashahidi wenu badala ya Mwenyezi Mungu, ikiwa mnasema kweli.

Basi wameshindwa hadi leo hii hakuna na Allah kaahidi hawatofanya je wewe utaweza?

2:24. Na mkitofanya - na wala hamtofanya kamwe - basi uogopeni moto ambao kuni zake ni watu na mawe walio andaliwa hao wanao kanusha.
Basi nakusihi wewe mtu usije ukafa katika ukafiri...
 
Umeandika mengi ila ni porojo tupu...
Qurani yenyewe haisemi swala tano lakini tafsiri zinatunga maelezo kibao ili kuendana na imani zao.
Mimi sio punga kwamba siwezi kuelewa mpaka aje imam kunifundisha hicho kichaka kilishachomwa kitambo.
Hata maimam wa shia wanatafsiri kuwa swala ziko tatu.
Hivyo usinitishie maneno ya tafsiri za imam wa kusuni apa...tusome quran kama inasema swala ziko tano kama hamna kaa kimya.
 
Poa basi wewe kama reference sikuamini.
Kwasababu namimi pia ni reference yangu,namimi ninasema Uislam na shetani ni mabestie.
Proof? Mimi ndo reference
Think outside the box
Kama wewe ni shetani adui wa kwanza si angekuwa mungu na dini yake?ungefanya juu chini kuipotosha hiyo dini na kuichafua...ungeingiza vibaraka wako,manabii wa uongo,maraisi ili waanzishe ushoga,kamari etc. ili hata wafuasi wanaomtafuta mungu kupitia hio dini waangukie mikononi mwako....kama kuna dini zingine zisizokuwa za mungu usingekuwa na time nazo kwa kuwa hazikupunguzii kitu...kwahyo wahindu,waislam,wabudha usingewafuatilia kuwachafua au kuwaingizia manabii wako wa uongo ndani yake,kuingiza uchafu wako kama ushoga ndani yake...kwakuwa hata hivo hivo walivo tayari wako upande wako.

Ushasikia manabii wapya wa kiislam au kihindu vibaraka wa shetani??
 
Mimi sijali ukristo ulianzishwa na nani awe petro,paulo au nabii tito hiyo sio mada
Point yangu ni kuwa huu "ukristo" ni makafiri kwakuwa hawamuamini muhamad na Allah,,,na Allah hawapendi makafiri

Kwahiyo mtu yeyote asiyeamini uislam i.e muhamad na allah yeye anaitwa kafir

Allah hapendi makafir
Kwahiyo allah hapendi watu wasiokuwa waislam...

Kwahiyo waislam msitudanganye kuwa hamna chuki na mtu yeyote.
Wakati hata allah anawachukia wakristo,wahindu,wabudha,wapagani,n.k
 
Ukweli ni ule ambao hata Aya ya Qur'an iliyowekwa post namba ni ya kujitungia na kumzuwia, haipo kwenye Qur'an, huo ndiyo ukweli?
Kama mtu kaweka Aya sio ,siuniweka iliyo Ya kweli , kila mtu atajua nan ni muongo na nani ni mkweli

Cha msingi Amani ni muhimu bila kukashifiana
 
Acha uongo mbele ya watu wazima

YESU na uislamu wapi na wapi ?

Musa ,daudi na uislamu. Wapi na wapi ?


Unataka kudanganya watu wazima na akili zao?
 
Kama mtu kaweka Aya sio ,siuniweka iliyo Ya kweli , kila mtu atajua nan ni muongo na nani ni mkweli

Cha msingi Amani ni muhimu bila kukashifiana
Kasome juu post namba 13 tumeshamuwekea. Kumbe huwa mnakurupuka bila kuusoma uzi.

Kasome kisha useme na umuulize kwanini anadanganya? Kama si mfitini?
 

Huna unalolijua, kwa kuwa Allah ndio anayeongoa watu basi rai yangu ni kuomba tu kabla hujafikwa na mauti uwe umeongoka. Kama mashia ndio walimu wako basi umekula hasara
 
Nashindwa kukujib ndugu nimesoma zaid ya mara 3 sijaelewa. Embu andika vizur na pangilia hoja nione msingi wako ni upi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Suleman jaffo,,,ummi mwalimu,,,,mama samia na kasimu majaliwa wote hao n wakri,,,,,,,

Sent using Jamii Forums mobile app
Prof Kabudi, Ally Happy, Jaji Mkuuu Ibrahimis Juma, Hussein Bashe, Hamis Kigwangala, Diwani Athuman mkurugenzi wa TISS, Latifa Mohamed Hamis naibu Mkrugenzi wa PSSSF, Ashatu Kijaji, maulid banyana Mkurugenzi wa shirika la nyumba, etc
Sometimes watu wanalalamika bure tu yani ni mentality hata ufanye nini bado wataamini bila ushaidi
 
Kaka umeandika maneno mengi, lakini imeonyesha una ufahamu mdogo sana, juu ya mambo yafuatayo.

1. Hujui siasa ni nini ?
2. Huwezi kutenganisha siasa na dini. Ila zipo siasa za kishetani. Rejea kitabu kiitwacho "Ademokratia"
3. Hujaonyesha marejeo ya bata la nchi za kiarabu na nchi za kikafiri, yaani hujaonyesha vigezo vya kuwafanya hao ndio wala bata sana.
4. Kuna nukta moja kama wewe unajinasibisha na Uislamu basi utakuwa katika dini ya Ushia, hapa ni baada ya kusema "....waislamu wa kisuni" hapa na imani kabisa umemaanisha jambo.
5. Hujatueleza uislamu unasemaje kuwa na urafiki na wasio kuwa Waislamu. Je unakataza hilo au?

Kuna udhaifu mwingi sana umeonyesha katika dibaji yako hii.

Nakuja kuendelea hapa nilipo ishia.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…