Wew jamaa sasa ndo umeandika nini hiki?Mkuu, hapo ndipo wale mnaojiita" Wakristo" yaani wale mnaofata dini ya Paulo mnapokose,Mkisoma Biblia hamfahamu Quran halikadhalika
Uislam unamuamini na kumtukuza Isa aka ISO aka Yesu, Yesu ametajwa mara 25 katika Quran..
Ni wajibu wa Muislam kumsalia Yesu aka Isa kila anapotajwa, kwani Waislamu wanaamini ni Mtume wa Mungu na kila alichofanya kajaaliwa na Mungu..
Quran inapossema "disbelievers," yaani Wasioamini haimaanishi wafuasi wa Yesu aka Isa, kwani yote ALIYOHUBIRI na ALIYOFANYA Yesu kafanya kwa matakwa ya Mungu..
"Disbeliever" ni mtu kama wewe unaefata Mafundisho ya Paulo na kuyaacha ya YESU,
Nina uhakika hapo ulipo hujakata GOVI, unakula NGURUWE, Unaamini mafuta ya UPAKO, Upepo wa KISULISULI, Unaamini kuwa YESU ni Mungu, nk..
Mungu atakujaalia iko siku utafahamu., amin
Mbona viongozi wa jadi Kama kina kinjekentile hamuwaandiki majina kamili ? Kwani hamuwajui?
Waandikeni Basi mohamedi kinjekentile ngwale na mkwawa andikeni abdilahi mkwawa,mbona mnaandika jina moja tu kwa Nini? Kama sio chuki dhidi ya uislamu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanahofia vizazi visitambue kama uislamu ndio uliyopigania Uhuru na ilikuwa na nguvu Tanganyika.Mbona viongozi wa jadi Kama kina kinjekentile hamuwaandiki majina kamili ? Kwani hamuwajui?
Waandikeni Basi mohamedi kinjekentile ngwale na mkwawa andikeni abdilahi mkwawa,mbona mnaandika jina moja tu kwa Nini? Kama sio chuki dhidi ya uislamu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ni wapi quran imesema watu waswali tatu? Imesema shikeni/simamisheni/dumisheni swala. Namna na idadi imeelekezwa na Mtume wake. Mi nilidhani unaujua UislamuSasa mbona mnaswali swala tano ilhali quran imeandika mswali tatu?
Kwani aliyepanga serikali isiwe na dini ni mkristo au muislam?Kama waislamu Wana chuki na wakristo Nani alikataa mahakama ya kadhi isiwepo nchini,Kama si wakristo,mbona haiwahusu na waaliikataaa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa yuko sahihi....mashujaa wa nchi hii wengi wao walikuwa waislamu....hata wazee walioanzisha vuguvugu la kupigania Uhuru walikuwa ni waislamu...acha kashfa uislamu ni dini yenye nguvu Tanzania....ndiyo maana hamuishi kuifatilia Mara utasikia wanacheza kareti Mara hivi mnahofu sana juu uislamu.Hahah wew ni comedian
Vikitambua vitakufa?Wanahofia vizazi visitambue kama uislamu ndio uliyopigania Uhuru na ilikuwa na nguvu Tanganyika.
Hahah kwani unahisi watu wanabahatisha eti?? Kuna madhehebu ndani ya uislam wanaswali mara tatu tu. SomaMkuu ni wapi quran imesema watu waswali tatu? Imesema shikeni/simamisheni/dumisheni swala. Namna na idadi imeelekezwa na Mtume wake. Mi nilidhani unaujua Uislamu
Utajua tu, kama hujui,..Wew jamaa sasa ndo umeandika nini hiki?
Faiza alisema waislam hatuna chuki na mtu yeyote...(maana yake tunapenda watu wote)
Mimi nikamwambia wewe ni nani upende kila mtu wakati allah mwenyewe anapenda waislam tu na kuchukia wasio waislam??
Nikaweka na aya hiyo.
Sasa wewe tena unaanza kuniambia stori sijui isa sijui yesu mimi hayo haijalishi au unataka kuniambia kuna dhehebu lingine tofauti na islam wanaamini yesu ni nabii wa mungu na muhamad ni nabii???
Hata kama lipo hilo dhehebu basi tuliunganishe nalo tuseme allah anapenda watu wa kwenye hilo dhehebu pamoja na waislam...bado haibadilishi fact kuwa allah hawapendi watu wengine waliobakia i.e wayahudi,wakristo,wahindu,wabudha,wapagani n.k
Kwahiyo sentesi ya faiza kusema sisi waislam hatuna chuki na mtu yeyote ni ULONGO.
Mkuu naomba nitoe darsa kidogo. 11: 114 tafsiri ya sheikh Abdalla Saleh Farsi: Na simamisha sala katika ncha mbili za mchana (nayo ni Adhuhuri na Laasiri) na nyakati za usiku zilizo karibu na mchana. (Nayo ni Magharibi na Isha - ziko karibu na mwisho wa mchana; na Alfajiri iko karibu na mwanzo wa mchana). Hakika mema huondoa maovu. Huu ni ukumbusho kwa wanaokumbuka. (Haya ni mawaidha kwa wanaukubali kuwaidhika)." Hii ndo quran. Kwa mujibu wa aya 114 ya quran 11 sala ni tano (5) na siyo tatu(3).Hahah kwani unahisi watu wanabahatisha eti?? Kuna madhehebu ndani ya uislam wanaswali mara tatu tu. Soma
Quran 11:114
Hahah daah poa man.....kaz kweli kweliJamaa yuko sahihi....mashujaa wa nchi hii wengi wao walikuwa waislamu....hata wazee walioanzisha vuguvugu la kupigania Uhuru walikuwa ni waislamu...acha kashfa uislamu ni dini yenye nguvu Tanzania....ndiyo maana hamuishi kuifatilia Mara utasikia wanacheza kareti Mara hivi mnahofu sana juu uislamu.
Mr. Mimi sio punga sawa??Utajua tu, kama hujui,..
kwanza hiyo Aya uliyoiweka hapo juu 30:44 umepotosha tafsiri yake
Halafu sifikirii kama wewe ni HINDU au BUDDHIST..
Mungu wa waislamu hana chuki na yoyote au chochote kile..
Ulongo=Uwongo
Kwenda mpumbavu wewe,ajira munapeana kwa ukristo,teuzi za nyadhifa za juu munapeana kwa ukristo halafu unachora watu,munatengenza kundi lisilo na chakupoteza,mutavuna chuki,dhulma na ukandamizaji wenu.
Wewe mtu haujitambui!Kuna uzushi unasambaa katika jamii ya Kislam kuwa Waislam wananyanyaswa duniani na vita inayopiganwa mashariki ya kati ni dhidi ya Uislam. Hivyo jamii kubwa ya Waslam hasa katika nchi maskini wamekuwa wahanga wakubwa wa ufahamu huo, wanalalamika kuwa mfumo Kristo ndio unawakandamiza, kwahiyo chuki imejengeka katika ufahamu wao hasa dhidi ya Wakristo.
Huo ni uongo ndugu Muislam, uzembe wako ndio umaskini wako wa ufahamu, vita uliyopandikiziwa kichwani mwako ni vita ya ufahamu, maana shetani anatambua kuwa mwenye chuki hawezi kuurithi ufalme wa Mungu. Ndio maana anatumia fursa hii kupitia media kuukandamiza ufahamu wako ili uwe mateka wake.
Ngoja nikuambie ukweli, nchi ambazo Uislam umetokea ndizo nchi tajiri na wakazi wake ambao ni Waarabu ambao ni waislam 99% wanakula bata sana, tena wale ambao wewe unawachukia ndio marafiki zao wakubwa. Mfano nchi zifuatazo ndizo zinaongoza kwa bata sana na utajiri,
1) UTIED ARAB EMIRATES
2) KUWAIT
3) QATAR
4) SAUDI ARABIA
5) BAHRAIN
6) OMAN
Hizi ndizo nchi zilizo jaa Waislam wa kisuni ambao ndio wengi duniani na ni nchi tajiri sana kwa mafuta na uwekezaji wa majengo makubwa na ya kifahari, na tena hizo nchi ni marafiki wakubwa na nchi za Ulaya na Marekani. Watu wakiona Marekani inapigana na Wairaq au Wasyria wanajua hapo Marekani inapigana vita vya kidini, no no no unadanganywa na mashekhe wako au mazingira, Marekani yupo huko kimaslahi na si kidini.
Iraq na Syria na Marekani wamekorofishana tu, zamani walikuwa pamoja, maana Marekani hana rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu. Na kama vita ni baina ya Uislam na Ukristo kama mnavyopotshwa kwanini Saudia Arabia imevamia Yemen ambao kimsingi ni waislam wenzake? Inaua Wayemen kwa mabomu ya sumu na magonjwa. Na kama vita ni dhidi ya Uislam kwanini mwaka 2017 Hizo nchi tajwa ikiwemo na Misri waliungana na Marekani dhidi ya IRAN ambao ni Waislam wenzao. Na tambua mzozo wa Iran na Marekani si mzozo wa dini bali maslahi, Irana na Marekani walikuwa marafiki sana wakati wa Shah, baada ya mapinduzi ya Kishia ya mwaka 1979 ndio wakawa maadui mpaka leo.
Tukija katika nchi za Kaskazini kwa Afrika kama Morocco, Algeria, Tunisia, Misri ambazo 90% ni Waislam zote hizo zina nafuu ya maisha, na wanaishi kwa raha tu tena wanakula bata sana, ukitoa Misri hizo nchi zinatumia Kifaransa pia katika mazungumzo na wanaishi kama wazungu. Ukija kwa habari ya Libya na Sudan Kaskazini, vurugu za huko si za kidini bali za kimaslahi, Gadafi na Bashir wali provoke Marekani kimaslahi, sasa hicho unachokiona ndio matokeo ya matamshi yao na si habari ya Uislam hapo. Na tukija katika nchi yenye Waislam wengi duniani yapata milioni 200, ambayo ni INDONESIA, utaona huko hakuna masumbufu kwa Waislam, tena huko ndio kuna mabichi makubwa duniani ambayo kuna utalii mkubwa wa watu kutoka Marekani na Ulaya.
Na cha ajabu Ulaya na Marekani Waislam wanaishi vizuri sana tena kwa uhuru kuliko hata katika nchi za Kislam, huko wanajenga misikiti, wanatangaza dini yao kwa Amani, na katika nchi zao ukitangaza Ukristo wanakuua, kwao Biblia ni marufuku. Sasa kati yao na Wakristo ni wapi wenye chuki?. Na mzozo wa China na Waislam si wa kidini bali wa kisiasa, na China haisumbui Waislam tu bali hata Wakristo na Mabudha, na lakustajabisha ni Marekani na UN ndio watetezi ya jamii hizo zinazoteseka huko China.
Jambo lingine ambalo Waislam wamelitafasiri kidini, ni mzozo kati ya Palestina na Israeli, rafiki hapo hakuna mzozo wa kidini, Myahudi hana shida na Uislam, huo mzozo ni wa ARDHI. Na Waislam shida yao ni mji wa Yerusalem hasa msikiti wa Al-aqsa na dome of the rock na si miji mingine kama Gaza au Bethlehem ama Tel-Aviv, pia hawana shida na kuwatetea Wapalestina, wapo tuli hasa hizo nchi za Kislam zilizo tajiri, na Wapalestina wanalitambua hilo, na kuna wakati waligombana na wa Yordan walipotaka kudhibiti eneo hilo, na kumbuka Yordan ni Waislam, sasa tafakari kwanini iwe hivyo?. Ni kwamba Wapalestina hawataki kuliachia eneo hilo la Yerusalem limilikiwe na Waislam bali wanalitaka wao ili uwe mji mkuu wa Wapalestina. Huku Bongo utakuta mtu amekenua meno tu akilaumu Wakristo kuwa ndio sababu ya shida zake za kidini na kimaisha…POLE.
Mwisho
Vita vinavyoendelea duniani ni vita vya kisaikolojia, hivyo usiishie kuona tu mabomu na vifaa vya kijeshi na majeshi makubwa na udini, hivyo vita vinapiganwa katika akili yako. Na ndio maana vimeugawa ufahamu wako, na umechukia upande mmoja. Na jambo hilo ndio moja ya matokeo ya mtaala unaoitwa HEGELLIAN DIALECT na formula yake ni Thesis x Antthesis = Synthesis. Yaani anzisha mzozo, weka suluhisho na jibu ni Muhafaka.
Hii ni kanuni ya kishetani ya kunasa ubongo wako, kwahiyo tambua kuwa pambano kuu alipiganwi huko mashariki ya kati bali linapiganwa katika akili/ufahamu wako. Sharti uchague ni upande gani utakao utumikia, kama ni ule wa Mungu [Haki, Amani, na Neema] au ule wa Shetani[ Uovu, Chuki na visasi]. Ipo siku pande mbili hizo ambazo kwa picha ya nje zinapigana lakini kwa picha ya ndani zipo pamoja, zitakaa katika meza moja na kutengeneza SATANIC EMPIRE ndipo utalia na kusaga meno maana utakuwa umechelewa kufanya maamuzi sahihi. WALIO JUA SIRI HII WAMEWEKA TUMAINI LAO KWA MUNGU NA UJIO WA YESU KWA MARA YA PILI.
View attachment 1350847
Huu uzi na mleta uzi ni watu wanaotumika kuleta fitna.
Nawaomba Moderator mziangalie vizuri sana hizi nyuzi.
Hawa USA wanataka kuanzisha au wameshaanzisha chokochoko za kutuchafua Tanzania?
Ukiitazama hii habari, ukiitazama habari ya aliyechana Qur'an, ukija kusoma nyuzi kama hii za.huyu anayejiita Mcqueenen hapa JF.
Ukifikiri ya Makonda kunyimwa visa, ukifikiri ya Watanzania kuondolewa kwenye bahati nasibu ya green card, ukifikiri ya World Bank, ukifikiri ya msaada wa silaha kutoka USA, ukifikiri ya Tanzania kutangazwa siyo salama sana kwa utalii.
Kwa yote hayo unaweza kuunganisha dots na kukuta tayari jungu limeshapikwa na linangoja kupakuliwa tu.
Allah tulinde na wenye kutia wasiwasi kwenye nyoyo za watu. Allah tuepushe na shari na hassad zote, tunazoziona na tusizoziona.
Haya si madogo kwa kiwango chochote kile, inabidi serikali, wasio na dini na wenye dini, tuwe macho na kuwa na subira na tusifanye pupa kwa hizi fitna zinazoendelea.
Tusikubali kuchonganishwa.
Hakuna dini inayoitwa "Ukristo", Yesu hajawahi sema kuwa anachokihubiri ni Ukristo..Mr. Mimi sio punga sawa??
Kama nimepotosha aya je ukweli wake ni upi??
Kwahyo ukweli wake ni kuwa allah anapenda wasiomuamini?
Kwanza usiassume dhehebu langu,hata "tukiassume" mimi ni mkristo
Kuna mkristo anaamini yesu ni nabii tu na muhamad ni nabii wa Mungu??
Kama hayupo basi wakristo ni makafiri a.k.a disbeleivers
Na kwa msingi wa hiyo aya ya quran, Allah hawapendi a.k.a anawachukia wakristo wote na binadamu wengine waliobakia kasoro waislam tu.
Ngoja nikupe darsa la darsa lakoMkuu naomba nitoe darsa kidogo. 11: 114 tafsiri ya sheikh Abdalla Saleh Farsi: Na simamisha sala katika ncha mbili za mchana (nayo ni Adhuhuri na Laasiri) na nyakati za usiku zilizo karibu na mchana. (Nayo ni Magharibi na Isha - ziko karibu na mwisho wa mchana; na Alfajiri iko karibu na mwanzo wa mchana). Hakika mema huondoa maovu. Huu ni ukumbusho kwa wanaokumbuka. (Haya ni mawaidha kwa wanaukubali kuwaidhika)." Hii ndo quran. Kwa mujibu wa aya 114 ya quran 11 sala ni tano (5) na siyo tatu(3).