Babe la mji
JF-Expert Member
- Dec 14, 2019
- 983
- 2,053
Ndugu zangu amani Iwe pamoja nanyi. Kumekuwa na mawazo kuhusu kilimo na wengi wamekuwa na shauku kubwa sana kufanya kilimo hasa cha kibiashara. Yes, ni vizuri lakini hasara zake zimewapata wengi.
Kama kweli unataka faida kwenye kilimo basi wekeza kwenye KILIMO CHA UMWAGILIAJI.
Kilimo cha UMWAGILIAJI ni cha uhakika kwa kupta faida; we unalima mahindi, maharagwe, mpunga n.k. Nje ya hapo unatafuta hasara na ikizingatiwa wengi wanachukua mikopo ili kuwekeza kwenye kilimo.
Narudia, usifanye kilimo kilimo kwa kutegemea mvua utajuta.
Asanteni.