Usidanganyike kuwekeza kwenye kilimo kwa kutegemea mvua

Babe la mji

JF-Expert Member
Dec 14, 2019
982
2,051
Ndugu zangu amani Iwe pamoja nanyi. Kumekuwa na mawazo kuhusu kilimo na wengi wamekuwa na shauku kubwa sana kufanya kilimo hasa cha kibiashara. Yes, ni vizuri lakini hasara zake zimewapata wengi.

Kama kweli unataka faida kwenye kilimo basi wekeza kwenye KILIMO CHA UMWAGILIAJI.

Kilimo cha UMWAGILIAJI ni cha uhakika kwa kupta faida; we unalima mahindi, maharagwe, mpunga n.k. Nje ya hapo unatafuta hasara na ikizingatiwa wengi wanachukua mikopo ili kuwekeza kwenye kilimo.

Narudia, usifanye kilimo kilimo kwa kutegemea mvua utajuta.

Asanteni.
 
Inategemea na mkoa unaoishi.Njombe,Mbeya,Katavi,Kigoma,Morogoro,pwanisongea.Mvua in nyingi sana.Kama upo Dodoma,shinyanga mwanza Utalia.kuna mikoa maji ya kumwagilia yanakusaidia kulima kiangazi yani misimu miwili.

Kwa huko Shyinyanga,Dom,nk sijui utatoa wapi maji ya kumwagilia.Maeneo yenye mito ming ndio yenye mvua nyingi,Mungu bwana
 
Inategemea na mkoa unaoishi.Njombe,Mbeya,Katavi,Kigoma,Morogoro,pwanisongea.Mvua in nyingi sana.Kama upo Dodoma,shinyanga mwanza Utalia.kuna mikoa maji ya kumwagilia yanakusaidia kulima kiangazi yani misimu miwili.Kwa huko Shyinyanga,Dom,nk sijui utatoa wapi maji ya kumwagilia.Maeneo yenye mito ming ndio yenye mvua nyingi,Mungu bwana
 
Kuna watu wanatoboa kwa kutegemea mvua hiyohiyo.

Kuna maeneo hakuna irrigation scheme inayofanya kazi hata moja lakini watu wametoka hivyo hivyo hasa lake zone.

Kama upo zako mjini ndo ukurupuke kwenda kukodi majaruba/mbuga kiangazi likely utaambulia maeneo ambayo hayana historia ya mkondo wa maji na uwezekano wa kuumia ni mkubwa.

Schemes za umwagiliaji ambazo ni 100% efficient ni chache mno kulingana na mahitaji.
 
Kama upo karibu na mto unda scheme yako.Njombe wamejiundia mifumo ya umwagiliaji ya kienyeji hivyo hulima viazi mviringo muda wote.Sasa hivi wakulima wa parachichi wanachimba visima kwa ajili ya kumwagilia parachchi.Kuna mikoa ina maji sana Ila watu wanasubiri serikali iwapelekee mifumo.Sasa kuna pampu za bei poa, saa moja heka inakuwa chepe thanks to Chinese pump
 
Heka hamsini za mpunga uzihudumie kwa pump si mchezo tena huko Shy wanakolima kwenye majaruba kina cha kiuno.

Kuna mazao ni rahisi kujitengenezea scheme mwenyewe mfano mahindi etc
 
Mpunga ni rahisi zaidi kutumia pump kuliko mahindi kwa sababu mpunga ni jaruba,maji yanatunzika.Heka hamsini unakuwa na pump kubwa au pump nyingi.Heka hamsini so uwekezaji mdogo hivyo unatakiwa ugharamike tofauti na heka 3.
Heka hamsini za mpunga uzihudumie kwa pump si mchezo tena huko Shy wanakolima kwenye majaruba kina cha kiuno.

Kuna mazao ni rahisi kujitengenezea scheme mwenyewe mfano mahindi etc
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom